Recent content by Poet Mzox

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wanachokifanya CCM Dodoma kinanipa homa kali

    Habari Kwa kweli nmejaribu kuipitia hii Rasimu ya bunge la Sitta, sio siri kwa sasa sijielewi maana tumbo la uchungu kutoka moyon linaniuma sana, Wakat mwingine koo linapata hasira nabaki nikitweta mithili ya mtu alietoka kufanya mazoezi na pumzi imemkata. Watanzania hii si sawa eti kisa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    asante waambie hao waliopewa limbwata ya kufiria kuwa CHADEMA hawakosei
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Mtoa mada ni intelligent but wanaompinga wana matatizo pengine ubongo haufanyi kazi vizuri au wanatoka kaskazini
  4. P

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

    Serikali pia hupitia JF kuona madukuduku so na hili wataliona tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

    Habari WANAJF Hadi sasa kuna shule ya sekondari ya IKUYU MPWAPWA matokeo ya kidato cha pili bado hayajatoka. Ajabu ni kwamba matokeo ya form four yametangulia pia. Hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na ofisa elimu(W) ya kumuwajibisha Mkuu wa shule. Watoto wanaendelea na masomo ya kidato cha...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 chali matokeo ya kidato cha nne

    dah mbuzi wa maskini hazai maana nilidhani majina ya wadogo zetu yatakuwa live kwenye Google(accessible)
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Je, Tanzania tuna mtaala wa elimu?

    heshma yako Dr. Kitila
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    hakika wanaonesha determination
  9. P

    JamiiForums Tanzania Sababu za kutoweka mtandaoni matokeo ya kidato cha pili

    au watahiwa wengi au hakuna wataalam wakutosha kuingiza data mtandaoni?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ukisikia paaaaaaa moyo umezima ujue NECTA wamefichua matokeo ya kidato cha 4.

    yakitoka baada ya Easter hayataamnika pia yatapoteza radha
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wana duce

    we nahic umepigiwa cmu maana duce kupo vilevile utadhan hakuna likizo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Fumbo-Namba ya Simu

    mh!!!!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Yawaje sasa mwapeana migongo, kulikoni?

    duh nimeappreciate mshairi mwenzangu
Back
Top Bottom