Recent content by pockert money

  1. pockert money

    Natafuta mtu wa kunisaidia ili

    Naomba msaada mtu yeyote ani inbox awe ananisaidia mambo mbali mbali, nipo busy kujaribu Ku apply kazi katika matangazo mbali mbali lakini nakutana na changamoto za Ku apply mtandaoni,hadi deadline inafika bado naangaika sifanikiwi.karibuni. Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  2. pockert money

    Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

    Ulowapost wenyewe wengine hawana miguu ila wamevaa vimini Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  3. pockert money

    Darasa la kupigilia pamba kijanja

    Una dini ngapi msikitin au kanisani? Mi napenda nguo fupi naona napendeza tu . Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  4. pockert money

    Wadada wanaobandika kucha au kwa wale wazoefu wa kazi hii

    Kwa wale kina Dada wanaopenda kubandika kucha mnatunzaje kucha zenu ili zisibanduke, maana kwa upande wangu napenda kubandika kucha, lakini napata changamoto katika kufua, kusugua sufuria etc au mnakuwa hamfanyi shughuli kama izo? Maana kwenye kufua nguo siwezi kutakatisha nikihofia kucha...
  5. pockert money

    Naomba kujua kuhusu ili tangazo

    Mwenye uzoefu na ili tangazo au mtu ambaye alishafanikisha na yupo ofisini naomba kujua kazi kubwa ni nini japo tangazo linajieleza ila bado sielewi vizuri.ukiajiliwa kwenye izi halmashauri unakuwa mtendaji wa kijiji kivipi? Vipi kuhusu kada yako ulosomea.tangazo linataka NTA level 5 vipi kama...
  6. pockert money

    Naomba mtu mzoefu wa kuandika barua za kuomba kazi

    Bora ukose akil upate utashi sasa c ukakoment uz uliko Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  7. pockert money

    Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Mambo ya kusimamiana katika kazi mwishowe kuharibu mi nakelekwa tu labda aje mwanamke mwezangu. Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  8. pockert money

    Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Mnakera kuja kuja jikoni!!! Mnafika kuchukua nini basi mpike nyie. Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  9. pockert money

    Naomba mtu mzoefu wa kuandika barua za kuomba kazi

    Unazan siwezi kuandika kuna msemo unasema akili za kwako changanya na mwingine naona kitu kitatoka kizur zaidi kuliko ukifanya mwenyewe. Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  10. pockert money

    Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani...
  11. pockert money

    Naomba mtu mzoefu wa kuandika barua za kuomba kazi

    Naomba mni pm kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia kuandika barua vizuri kabisa kwa Kiswahili fasaha na anaejua vitu vyote ambavyo vinatakiwa na atakaenipa ushauri mzuri ambao utanifaa hata kwa siku za baadae. Sio kwamba siwezi andika barua, unajua kila kitu kuna kuzidiana ndio maana hata darasani...
  12. pockert money

    Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    I give him a time from tomorrow I m not going to search him in that point najua nitapata majibu yalio kamili kama ananipenda atanitafuta tena and if ikiwa forever bac alikuwa ana ni test. Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app Ha ha ha ha Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums...
  13. pockert money

    Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    I give him a time from tomorrow I m not going to search him in that point najua nitapata majibu yalio kamili kama ananipenda atanitafuta tena and if ikiwa forever bac alikuwa ana ni test. Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
  14. pockert money

    Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

    Asante kwa ushauri ni kweli ata Mimi naliona ilo mtu unaempenda lazima uwe na time nae!!!! Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom