Wakuu habari zenu.
Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa...
Wakuu nimeibiwa simu na ina simcard ina savings zangu zote, sasa nashindwa kurenew simcard sababu alienisajilia nimetafuta bila mafanikio, naomba msaada kwa mnaofahamu hizi mambo.
Kwenye makampuni ya simu naweza kisaidiwaje? nisaidieni mawazo please nahisi kuchanganyikiwa.
Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery.
Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole...
Niongeze information ipi mkuu? nimetoa tu hizo nazokumbuka sababu ni miaka mingi since 2014 sikua Tanzania na niliporudi sikufatilia kumuhusu, ndio sababu sijui vitu vingi sana after 2014
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.