Recent content by Pmrika

  1. Pmrika

    17 MLN Subaru Forester XT Namba E inahitajika

    Ninayo Subaru Forester XT ya mwaka 2009. Cc 1990. Namba ni DVN. Rangi ni pearl white. Gari ipo vizuri sana. Naiuza kwa sababu nataka ninunue forester XT ya 2014. Gari ipo Dar es Salaam. Bei ni 18 mill mazungumzo yapo. Namba ya simu 0767 668904
  2. Pmrika

    Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

    Marioo hawana Akili, hawana maamuzi, marioo hawezi kuwa na msimamo thabit usio yumba. Hizi ndio sifa zilizotajwa kwenye post.
  3. Pmrika

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Jaribu forester XT kwenye speed ya 120km/hr then njoo na feedbacks hapa. Note - hakikisha hiyo XT unatumia recommended oils.
  4. Pmrika

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Oils za 5W 30 zipo nyingi sana Tanzanian
  5. Pmrika

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Bongo lala na mawazo mgando ya TOYOTA, XT unaweza tumia petrol ya kituo chochote.
  6. Pmrika

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Bongo lala TOYOTA hardcore mentalities.
  7. Pmrika

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Hizi gari ni nzuri Tu tena saana hasa kwenye performance ukilinganisha na TOYOTA RAV4, harrier, na hata vanguard, hata nissan dualis, Xtrail na SUV nyingine nyingi Tu ambazo unaweza zilinganisha na forest XT. Shida ya watanzania wengi bado wanamawazo mgando kwamba Toyota ndio ya kuwa nayo...
  8. Pmrika

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Natamani siku moja uendeshe Subaru forester XT, iliyowekewa recommended engine oil, halafu weka petrol ya TOTAL, PUMA au VIVO. Then njoo hapa utoe mrejesho.
  9. Pmrika

    Subaru vs Vanguard

    Bongolala na TOYOTA mentalities, unacompare bei??
  10. Pmrika

    Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Sio kweli, mm ni mhanga na nilioa tena, hapa nina almost 10 yrs na maisha yanekwenda smooth.
  11. Pmrika

    Nini kinacho Endelea kigamboni na Mgao wa Umeme???

    Ondoka Kigamboni nenda ishi sehem ambazo hakuna mgao. Sio lazima ukae kigamboni.
  12. Pmrika

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Ni kweli, subaru sio gari sumbufu. Kikubwa fanya service kwa kutumia recommended oils/fluids. Tatizo watu wengi hawazielewi hizi gari, mtu ananunua ma oil fake, unategemea nini. Mm bibafsi toyota zimenishinda, natumia subaru kwa mda mrefu tu, kwakweli ni gari nzuri sana. Kwa ss naona watu wengi...
  13. Pmrika

    Nauza gari - Subaru Forester ya mwaka 2004

    Jogoo kashaliwa Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  14. Pmrika

    Nauza gari - Subaru Forester ya mwaka 2004

    Nauza gari aina ya Subaru Forester, mwaka 2004. Namba ni T 586 DEB. Gari ipo kwenye hali nzuri sana. Tairi zake pia bado mpya. Na haina tatizo lolote na haijawahi pata tatizo lolote. Bei ni shilingi 7,500,000 net take home. Simu yangu ni 0767 668 904. Halo ya gari ni kama unavyoiona kwenye...
  15. Pmrika

    Msaada: Nashindwa kuchukua uamuzi sahihi juu ya mume wangu!

    Mwache uendelee na maisha yako
Back
Top Bottom