Nauza gari - Subaru Forester ya mwaka 2004

momo j

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
365
250
Nauza gari aina ya Subaru Forester, mwaka 2004. Namba ni T 586 DEB. Gari ipo kwenye hali nzuri sana. Tairi zake pia bado mpya. Na haina tatizo lolote na haijawahi pata tatizo lolote. Bei ni shilingi 7,500,000 net take home. Simu yangu ni 0767 668 904. Halo ya gari ni kama unavyoiona kwenye picha.
Screenshot_20201207-111331.jpg
Screenshot_20201207-111301.jpg
Screenshot_20201207-111231.jpg

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,478
2,000
Madali mbona mnapiga picha gari kishamba sana....

Piga picha vizuri mbele nyuma, na pande zote mbili then fungua boneti piga picha injini, fungua milango piga picha za ndani ili mtu aweze kufanya maamuzi ya awali kwa kuona picha tu... sio mtu unafunga safari mbagala hadi kawe unakuta gari ndani imechoka au unakuta imefungwa injini sio yake badilikeni..
 
Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
3,187
2,000
Madali mbona mnapiga picha gari kishamba sana....

Piga picha vizuri mbele nyuma, na pande zote mbili then fungua boneti piga picha injini, fungua milango piga picha za ndani ili mtu aweze kufanya maamuzi ya awali kwa kuona picha tu... sio mtu unafunga safari mbagala hadi kawe unakuta gari ndani imechoka au unakuta imefungwa injini sio yake badilikeni..
Nami nasubiri nizione
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom