Recent content by PMM

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nchi fulani inaweza kuichezeana nchi nyingine michezo michafu kuvuruga amani

    Na kule Bosnia Herzegovina je?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Kwa nini sasa tusiibadilishe JF na tusiifante iwe online political party, na kisajiliwe hivyo?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Update: Magufuli naye ajitosa kwenye battle ya Majiji mengine kuendelea kuliko Tanzania

    Mbona wao wengi tu hawajui kiswahili chetu?!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani zinatakiwa kuiondoa CCM madarakani?

    Tutajiongoza wenyewe si lazima chama, kwani mashuleni na vyuoni tulijiongoza vipi hakuna vyama kula.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

    Hivi hatujapiya tu kipindi cha kidumu Chama cha Mapinduzi?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

    Kwenye maandishi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    UTANZANIA WAO HAWAKUUPATA KWA MISWAADA BALI GENEALOGY, WAMEZALIWA NA WAZAZI WATANZANIA AMBAO NAO WALIZALIWA NA WATANZANIA, HUWEZI WANYANG'ANYA KWA MAKARATASI. HATA MUSWADA UKIPITA WAO WATABAKI KUWA WATANZANIA TU. VIPI WAKIJA WENGINE MADARAKANI NA KUFUTA UTANZANIA WA WALIO WAFUTIA? NANI ATABAKI...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Huku mtaani watu hawana habari wala mpango wa kuandamana

    Si ni maandamano ya muungano ama?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

    Mfikishie salamu, hata wanazi wameshatoka uwanjani kwa kukata tamaa timu imesha shindwa kabla mchezo hujesha
  10. P

    JamiiForums Tanzania Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    No moja hii!!
  11. P

    JamiiForums Tanzania US and German Governments Must Respond To These Serious Allegations

    Wajita ndivyo walivyo, tunawajua sana kule kwetu Mara.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kifo cha diwani Lwena: Rais Magufuli aagiza kamati ya ulinzi kusaka wahusika

    Kazi za OCD anazifanya Rais!!!
  13. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    NGUVU YA HOJA vs HOJA YA NGUVU
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    ??????????????!!!!!!!!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Pascal, kabla hata sijamaliza soma makala hii elemishi, nimesukumwa nikujibu kwanza kisha nirejee. Tayari umesha sema Rais Magufuli alichukuwa madaraka yote na kuamulisha Bunge na Mahakama kufuata asemayo yeye na ume sight safari za nje kutolewa kibali Ikulu na mahakama na Bunge vikakaa kimya...
Back
Top Bottom