Recent content by PMEL

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wanaoweweseka na Lowassa

    Sasa kama mpaka katibu anamsifia...wewe ni nani kuandika upuuzi huu...afya na umri wake unaujua ww? Andiken facts achen kutochosha na maneno ya vichwa vitupu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Difenda 9 za Polisi zatumika kusimamia uvunjwaji wa nyumba, Ni ile ya Lowassa

    Duh lowassa hatoki midomon mwetu aisee...hivi hatushangai kila kukicha ni lowassa. ..baya. .lowassa...jema lowassa... Kah...We need to breath. ...tumeshaambiwa sio yake kwann tunang'ang'ana?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    Kah! Lowassa really gets people eh? Tukiamka- Lowassa, tukilala-Lowassa! Comments kibaooooo! Amakwel anatishia amani ya wengi! Aumwe, asiumwe! Apasuliwe, asipasuliwe.....wembe ni uleule
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Yanafunguka taratibu! Acha viwekwe hadharan, haki imetendekaje? Wangap walisimama kutetea Richmond kama walivyosimama leo?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa awalaani wanaomzushia mambo kupitia Mitandao ya Kijamii!

    Mbun'go nakuaminia! Ww shibwe una ushahid wa unachosema au aljmrad na ww umeandika?
Back
Top Bottom