its too general report, nothing can help us. it has jxt fellings based on sekeseke la kisiasa linalo endelea.
WANA JF NAOMBENI MNISAIDIE HAYA: 1. Sijaelewa uhusiano wa kumtaja the so called LUDOVICK, na hii issue ya kuteswa. 2. Waandaji wa Report, wamelizia na taarifa wanayosema kuwa CHADEMA...
Pole dada Nakaya......... Huu ni mfano tu mdogo wa baadhi wa watz walio na ugonjwa wa ufupi wa kimtazamo na tamaa ya mafaniokio ya muda mfupi badala ya kuwa na mitazamo ya miaka 100 ijayo. Imekula kwako. Poleeeeee!!!!!!!!!!
Pole dada Nakaya......... huu ni mfano wa ufupi wa kimtazamo na kiutashi wa sisi watz, short sightness na tamaa ya mafanikio ya muda mfupi ndo ugonjwa wetu. Poleeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hili ni janga la Kitaifa, hivyo kuunda tume kunaweza kutusaidia kupata kiini cha tatizo na iwapo kama mapendekezo ya tume yatafanyiwa kazi tunaweza kujinasua na janga hili lililotikisa pande zote za nchi yetu. Lakini uzoefu unaonyesha kuwa Tume za kibongo huwa kiini macho tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.