Recent content by pm Emeritus

  1. P

    JamiiForums Tanzania PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

    Ukiangalia rangi za mavazi ya watu walio hudhuria kwenye mikutano hii miwili utagundua kabisa kuwa mkutano wa ccm una watu wamekuja disco na outing. Pia ccm inamvuto mkubwa sana kwa watoto
  2. P

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Huyu jamaa kasahau kuwa wanandoa ya kisiasa na cuf kule znz, mbunge wa morogoro mjini anasema juhudi binafsi sio za chama wa serikali yake. Kweli nimeamini upumbavu wa viongozi wa ccm unatoka kwa Mungu kama ulivyokuwa wa farao wa kule misri
  3. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa afunika Iringa

    Nimependa hii.
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

    Wachakajuaji inawezekana walikuwa na shule nzuri ya IT lakini hesabu zinawapiga ngwara, kwani kulikuwa na namba zilizo jirudia rudia sana na tofauti ilikuwa haina kabisa mathematical logic ambayo kilaza yoyote wa maths akifikiri kidogo tu aweza wastukia.
Back
Top Bottom