Recent content by plusboy

  1. plusboy

    JamiiForums Tanzania Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

    Yes we can...this is SIMBA
  2. plusboy

    JamiiForums Tanzania Simba kama kikosi ndo hiki hamtatoka kwa KMC

    sasa wamesajiliwa waokote mipira au? au ulitaka apangwe kindoki?
  3. plusboy

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya TBS?

  4. plusboy

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya TBS?

    lkn point yangu ni kwamba je kwa mujibu wa afya ya mtanzania Tbs inawezaje kuruhusu sigara?
  5. plusboy

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya TBS?

    sawa mkuu
  6. plusboy

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya TBS?

    sawa mkuu.. ila sheria huvunjwa na aijuae
  7. plusboy

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya TBS?

    nikawa naijua ila leo ndo nimeifahamu
  8. plusboy

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya TBS?

    Inawezekana mimi huwa sielew vizuri maana ya Tbs ..hususani pale nnapoona mabanko ya sigara yameandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako'" na bdo zinaruhusiwa kuuzwa jeee Tbs inapima ubora upi???? wa viwango?? nawasilisha
  9. plusboy

    JamiiForums Tanzania Style za kumtuliza kwenye ndoa Mke Malaya aliyekubuhu Barmaid, Pornstar.

    alie zoea kubadili usafiri hata umpe ndege atatamani baiskeli
  10. plusboy

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

    km kuna kaukwel ety mkuu°°°Π
  11. plusboy

    JamiiForums Tanzania Anakaribia kuolewa lakini anadai kwamba ana hisia za kimapenzi na mimi

    kumbe ndo ww? nilikuwa namtafuta anaye myumbisha mke wang mtarajiw kumbe ukaribu yangu tuuuuuuu ...wacha tupambane
  12. plusboy

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

    usiumie kuwa pekeako ..umia kuwa na mtu asie sahihi kwako
  13. plusboy

    JamiiForums Tanzania Simba mtaweza kuvunja record iliyodumu miaka 42?

    npo hapa na mm nasubir majibu
  14. plusboy

    JamiiForums Tanzania Kutongoza live(macho kwa macho) imekua ni ngumu sana karne ya 20's ni kwanini?

    Ugumu unakujaje mzee mbn cmple2 ..unamwamby2 ukwel changnya na uongo kdg akikubal hy akikataa haya ...habari ya kununua bando kwjli ya mtongozo na dem anakaa nyumba ya pili apo huo umama!!!
Back
Top Bottom