Recent content by plumber hydrogen

  1. plumber hydrogen

    Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Ayatollah kanusulika sana ku uwawa sio mchezo ndani ya miaka 40 kanusulika majaribio mengi ya ku uwawa mpaka mkono wake ulipigwa bom
  2. plumber hydrogen

    Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Nadhani ungesema cm 385×380 jibu litakalo patikana gawa kwa 10,000 sawa na Sq 14.63
  3. plumber hydrogen

    Asharose hana ubora kwenye uongozi ila connection na Kikwete ndio inambeba

    mama Dr Asharose ana uwezo mkubwa sana wa uongozi na mwenye akili nyingi sehemu zote alizo pita kafanya vyema sana.. Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
  4. plumber hydrogen

    GE2025 Ni wangapi umu Jukwaani Mmeshagundua mchezo wanaoucheza CCM? Wa kuengua Walioshinda kura za maoni na kuweka walioshindwa!

    CCM wapo makini wana jua nani ana faa.Nafikiri walio kosa waungane na wenzao kuwa kitu kimoja..
  5. plumber hydrogen

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Hapo ni mjini kabisa Kerege ni habari nyingine
  6. plumber hydrogen

    Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Kibaha ime hipo vizuri na maeneo mengi hayana uswahili ukianzia Pangani kwa Matihas Sofu Bungo Miembe saba mwendapole kwa mfipa n.k
  7. plumber hydrogen

    Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Hivyo nilivyo taja ni vibovu
Back
Top Bottom