Recent content by Platnumking

  1. Platnumking

    JamiiForums Tanzania Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

    Usilolijua shida ya mrusi anataka nato ajitokeze laivu aone, hata Kama mrus atashindwa kumbuka zipo nchi nying zinazomuunga mkono mrusi hayupo peke yake na ikitokea nato wakamchokoza wajiandae wazungu kuwa wakimbizi Afrika Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  2. Platnumking

    JamiiForums Tanzania Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

    Shida so kudunda shida hataki maridhiano na ndugu yake anaona Bora kutunidmsa kifua huku anaangamiza taifa lake Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  3. Platnumking

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata formula ya chakula cha kuku

    Changamoto ya ufugaji wa kuku huja kwenye gharama za chakula. Kwa yeyote mwenye formula nzuri ya Chakula cha kuku chotara tupeane elimu zaidi kwaajili ya mafanikio zaidi. ASANTENI
  4. Platnumking

    JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    Laiti Kama viongozi wangekuwa wanafuatilia comment zetu kilimo kingewekewa bajeti kubwa kuliko sekta zingine maana Tanzania tunaishi kwa kutegemea mvua tu wakati misri na nchi ambazo zinazungukwa na majangwa ambapo mvua n nadra lakin wanalima Sana kuliko sisi ambapo mvua zikinyesha vijana...
Back
Top Bottom