Recent content by Platnam

  1. Platnam

    Wataalamu wa Tyres naombeni ushauri zipi zina ubora

    Hii ndio tairi sasa. Na bei hua zinatofautiana kwenye same brand na size.
  2. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mechi nyingi tu zina controversy. Tatizo ikishakua ni Madrid issue inazungumzwa sana. Kuna vyombo vya habari, team na pundits wanaumia sana mafanikio ya madrid.
  3. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kabisa, nimeona report za mishahara kwenye vilabu vya ligi bora 5, Ndugu zetu wanaongoza. Nimejiuliza wanamlipa nani mshahara mkubwa considering age ya wachezaji na viwango uwanjani... Perez yupo vizuri sana.
  4. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hatimae. Nimependa tu hii ya kuja kwa terms zetu
  5. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Unaandika pumba tu... Hembu nionyeshe mahali nimelinganisha wachezaji wa Madrid..Wewe uliesema hakuna kitu anafanya uwanjani zaidi ya kuanguka tu ndio utuambie imekuaje katajwa mchezaji bora wa pili... Utakua ulikimbia umande wewe sio bure.
  6. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jamaa walituvuruga sana, individual brilliance ndio imetuokoa, ila team wise jamaa walikua na intensity kubwa sana..
  7. Platnam

    Hatimaye Boss kaoa

    Watu wanaoa wanawake wanaojitambua sio wanaoringia sura na makalio wakati kichwani hamna kitu
  8. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Narudia tena huelewi unachoandika. Acha kuangalia matokeo ya mpira goal score alafu unakuja na analysis zako uchwara.
  9. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hujui unachoandika
  10. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    We hua unaangalia mechi au unasubiri matokeo? Kuna wengine hua mnaangalia score line baada ya mechi alafu mnazungumzia viwango vya wachezaji.
  11. Platnam

    Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Sasa nini cha kushangaza hapa?
  12. Platnam

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hakuna Blaugranas humu, asilimia kubwa ni shabiki wa Mess, wamehamia ligi ya US huko
  13. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Credit ziende kwa Camavinga na Modrich... sub yao ilibadili game kabisa
  14. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tupo slow mno. Ikitokea counter unakuta ni mtu mmoja tu pembeni, hata akienda mbele hamna cha maana.
  15. Platnam

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hapa kuna kila haja ya kubadili kocha kama hawezi kubadili hii style tunachezi. Sioni ikitupeleka popote.
Back
Top Bottom