Recent content by PLASMODIUM

  1. PLASMODIUM

    Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

    Kuhisi na kufanya uchunguzi ni vitu viwili tofauti.
  2. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    WAKUU NIMESHAANZA KUANIKA TATZO NIMECHANGANYA MA FILE ...ANGALIENI KATIKA POST ZANGU AND I'M SERIOUS.
  3. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Nimeshaanza kuweka japo na muda ni mdogo lakini naendelea kufanya editing ....tembelea page yangu..
  4. PLASMODIUM

    Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

    Leo tutaiangalia kwa harakaharaka keno inachezwaje ili kuwapa mwanga wale wasiojua huu mchezo unachezwaje na baadhi ya trick(s) unazoweza kutumia ili kujishindia pesa. Utangulizi. Keno ni mchezo wa bahati nasibu aina ya lottery.mchezo huu ulianzia china zamani kwenye miaka ya 180 na kuanza...
  5. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Siwezi kukuambia ni wapi mkuu kwa sababu za ki usalama.
  6. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Hata kamari nayo ni kazi mkuu
  7. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Nitakuonyesha hizo steps usijali mkuu.
  8. PLASMODIUM

    Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    BI.FOXY,NIMERUDI TENA "MZEE WA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA" KESHO NITATOA DARASA KWA WANAOTAKA KUTAJIRIKA KWENYE MCHEZO WA KAMARI AINA YA "KENO" KWANI KAMARI INA IDADI KUBWA SANA YA WAFUASI THIS TIME....NAKUSHAURI TUJUMUIKE KWA PAMOJA KATIKA DARASA LANGU NA NITARUHUSU MASWALI MBALIMBALI ....karibu...
  9. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Nimeshatengeneza pesa nyingi si chini ya m3 in 1month na siku kazaa
  10. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Yani kesho nitaanza na kuelezea kwa kina yaani Keno ni nini.... Ilianzishwa wapi..... Mfumo gani unatumika kuendesha huu mchezo.. Jinsi gani wamiliki wanapata faida ....nk
  11. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Kutokana na capital kuwa ndogo yaani kama nikiingia na elfu 60,000/= 9:00am nina uhakika wa kuondoka na 200,000 mpaka 240,000/=8pm lakini kuna changamoto nyingi kwani kuna muda network inasumbua na mara nyingi ni pale inapotokea umeme umekatika na nyinginezo
  12. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Nataka niwaonyeshe watu hadharani na itakuwa "exclusive" kwani sisi watu weusi wanatuona kama wavivu wa kufikiri.
  13. PLASMODIUM

    Jinsi ya kupata mamilioni katika mchezo wa keno lottery

    Nina siri nzito juu ya huu mchezo,na Kama unataka kujua ni jinsi gani unaweza kushinda pesa nyingi iwe kwa kuzuia namba,kwa kutoa namba au hata at least basi usihofu,nimeandaa steps zoote ambazo unatakiwa kuzifanya ili utajirike ikiwa ni pamoja na kuweka hadharani siri na namna ya kufanya...
  14. PLASMODIUM

    RC Makonda ajibu maswali kuhusu kumchongea Sirro hadharani, kutopeleka rushwa TAKUKURU

    KWA KIKWETU NENO MAKONDA MAANA YAKE NI KUJIPENDEKEZA
Back
Top Bottom