Recent content by plagiarism

  1. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Huyo ameeenda bwana tungoje wengine😂😂
  2. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Maisha na jinsi ninavyoona, Ukifa leo ungetamani uwe umefanya nini kabla?

    Tunaosoma comment tujuane
  3. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ugomvi wa kaka na baba juu ya watoto wa kaka

    Mkuu naona kama anapotea sana hadi maneno machafu anatoa 😞
  4. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ugomvi wa kaka na baba juu ya watoto wa kaka

    1
  5. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Mshahara na mafao ya diwani ni shilingi ngapi?

    Unataka uwe Diwani mkuu?
  6. plagiarism

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuachia mkeo Tsh. 2000/= ya matumizi?

    Wewe mwenyewe unaonaje akichepuka usije kulilia hapa.
  7. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    Binafsi Mungu ananiepusha sana ila kuna vitu hata mimi siwezi fanya sio makusudi au najifanya but akili mtu wangu jitambue tu.
  8. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    Brooo maisha haya yana kuigiza sana usiangalie kwa macho na mdomo ukajiridhisha kaa mkao utaelewa
  9. plagiarism

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana watoto wa baba mmoja na mama mmoja wasifanane?

    Tumwambis mwanaume mwenzetu UMEPIGWA .......😂
  10. plagiarism

    JamiiForums Tanzania TRA na Kariakoo kunanini

    Binafsi watakusajilia store yako but siku sio nyingi wataanza kukata kodi ni swala la muda tu kaka ila hii isikufanye ufunge biashara
  11. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    Una miaka mingapi na unaulizia vijana wa umri gani Kama ni 20-25 au chini ya hapo sikulaumu kozi akili haijakomaa vizuri. Halafu kila mtu ana maisha yake hapa mjini kuna mwingine hawezi kimoja kati ya hvyooo Koo majumuisho ndo yakawa yote Ila sio wote mkuu
  12. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Hapo anakata rufaa kesi imeisha 😂😂😂 Hilo tunalijua
  13. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Napiga chini mapenzi

    Hujatuweka wazi binafsi usikatae ndoa Ila acha umalaya 🙃😂😂
  14. plagiarism

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliemaliza form 6 kabla ya matokeo anaweza akaolewa?

    Mimi nimeshuhudia mtu kamaliza form 4 kafungishwa ndoa na mziki mkubwa tu mpaka asubuhi maaamuzi tu
  15. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna watu wanakaa Dar es salaam wanafanya kazi Zanzibar

    Mimi binafsi naunga hoja inawezekana kabisa watu hao wapo
Back
Top Bottom