Recent content by PiusShirima

  1. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Wauzaji mayai mmekumbwa na Nini trey 5000?

    Na ya kienyeji yatakuwa sh ngap?
  2. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Yamenifika shingoni, nahitaji mkopo wa laki tano

    Pole sana bro
  3. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Ufuta na vireja

    Ningependa kuuliza ivi kati ya ufuta (wa mviringo) na vireja ambavyo vyote huwekwa dukani na kuuzwa sh 100 kwa kimoja. JE KIPI KATI YAO HUPENDWA SANA NA WATEJA?
  4. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo kikuu cha Mapato ya TV / Radio Stations?

    Kutoka kwenye matangazo
  5. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Nafasi mwenye mtaji aje tukuze biashara

    Mtaj sh ngap
  6. PiusShirima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

    Ni noma zile gari kuzipimp ni be8 kuliko hata gari yenyewe ikiwa yard na ndani mziki wake hamsikilizani
  7. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Nitafanya biashara gani

    Ningependa unifafanulie zaid yani nyanya za million 5 wanunue mama ntilie si ntachukua muda mrefu na hao mama ntilie si wanatakiwa wawe weng sana labda dsm nzima
  8. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa bilionaire!

    Ni noma mzee
  9. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Nitafanya biashara gani

    Nina million 5 za kitanzania, Naomba mnishauri nifanye biashara gani ambayo itanikifisha mbali kwa mtaji huo.
  10. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Sasa imekuwa kero, amewahadithia marafiki zake kuwa najua mapenzi

    These holes there are for anybody..by juicy j
  11. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kuwa na huruma

  12. PiusShirima

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kuwa na huruma

    Mapenzi pesa pambana
Back
Top Bottom