Recent content by Pius Saronga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Kwa akili za kawaida tu, yule ni mtu wa karibu sana na Mh, Lissu na lile tukio aliliona vema kuliko mtu yeyote. Kwa hiyo wabaya wa Lissu wanaweza kummaliza Dereva wake ili kupunguza ushahidi, hivyo analindwa na kwa ajili ya usalama wake. Pia kutokana na mazingira tata ya vyombo vya usalama...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanahangaika sana na mambo ya wanawake, kuliko wanawake wanavyojishughulisha na mambo ya wanaume

    Siyo kweli maana mngekuwa na umuhimu kiasi hicho nyoote mngeolewa. Wanaume wana umuhimu na pesa zaidi na ndiyo maana ata ukimtaka mwanaume bure kama huna hela na yeye akawa hana hela atakukataa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hata kipindi cha vita dhidi ya wakoloni kuna waafrika walikuwa katika jeshi la mkoloni, simshangai Tundu Lissu

    Mtoa post nakujibu kwa kifupi sana, Rais amekua akilisababishia hasara Taifa letu kwa ajili ya kufanya mambo ya kitaifa bila kushirikisha wadau. Kwa mfano, Kuhamia Dodoma, Samaki wa Magufuli, Boti ya Bagamoyo, Ujenzi wa reli, Makinikia, na hili la kununua ndege za biashara kwa fedha cash...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

    Mbona hujanitaja Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Hakika, hakuna mstari wowote katika Biblia unaomwadhibu wanaume mwenye wake wengi

    Hakuna mstari ktk maandiko unaombana mwanaume ktk hilo, ila maoni ya Yesu na Petro walipendekeza kuwa na ndoa moja. Ila hakuna sheria inayokataza hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Ni jukumu la mume kuhakikisha familia inapata mahitaji yote, na ni jukumu la mke kuzaa kulea na kuhakikisha mume na watoto wanahudumiwa ipasavyo ikiwemo kutunza nyumba na vyote aletavyo mumewe. Sasa kama umeoa kuangalia kipato cha mwanamke, my brother hakuna rangi utaacha ona hadi unakufa
Back
Top Bottom