Recent content by pitapiti

  1. P

    LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Unaengua nini kama wapinzani wenyewe hawakujipanga sio tu kwenye kampeni mpaka maandalizi ya kampeni yeyewe ovyo tu.
  2. P

    LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    Unachokitafuta hapa ni ubishani tu. Hizi mantiki zenu ndizo zinazosababisha CHADEMA kuonekana kama chama kilichokufa. Chama kinaendeshwa kwa ujanja ujanja tu, hakuna ilani inayofuatwa, mnadandia hoja za wengine, na hakuna malengo ya muda mrefu. Hata hivyo, bado mnajiona kama chama kikuu cha...
  3. P

  4. P

    LGE2024 Makalla: Chagueni wagombea wa CCM wale wa CHADEMA Mbowe kasema hawana ILANI ni hatari kuwa na kiongozi bila kuwa na Mkataba wa atakufanyia nini

    Acha kuongopa, ccm ipo jambo imefanya labda kipofu pekee ndio anaweza hayo uliosema wewe
  5. P

    CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    Bado sana kwa upinzani kushika nchi, hawana nia ya dhati kuleta changes kwa Taifa, wapo kwa matumbo yao. Tunaweza chukua chadema kama mfano, je hakuna mbadala wa Freeman..? Vip wakipewa nchi wataweza kupokezana kijiti kama ilivyo kwa ccm..?
  6. P

    PreGE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

    Shida ya Nyumbu wakiambiwa ukweli wanakuja juu kama moto wa kifuu
  7. P

    PreGE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

    Wakati huo wanadunda ndio kuimarika kwenye huko
  8. P

    PreGE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

    Chama hiki kishajifia maana maandamano tu wamefeli mikutano wanajaa watoto
  9. P

    PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Alafu anakuja kusema kwamba ccm ndio wanaleta undugu kumbe ata yeye ana undugu lizimu
Back
Top Bottom