Recent content by Pirate of Carribean

  1. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Toyota hilux for sale

    Nauza hilux i good condition Cc 2770 3L diesel Ipo mbeya Bei 17 maelewano Seriously buyer 0713939293
  2. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Nakodisha chuma ya kazii

    Mkoa wowte mkuu gari inaenda kikubwa makubaliano
  3. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Nakodisha chuma ya kazii

    Toyot Hilux Engine 3L
  4. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mteja wa pumba laini

    Ndugu ulie nitext inbox kwa no zangu,, naomba unichek tena tafadhalii
  5. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Migebuka mibichi na Mikavu Inapatikana

    Wanaotaka migebuka waseme niwapostie.. kilo 9000. Napost kuanzia kilo 10.
  6. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mteja wa pumba laini

    Habarii Nauza pumba laini nina mzigo wa kutosha kwa takae hitaji anichek no 0757795588
  7. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kuwauzia Mchele, Pumba laini na Chenga

    Hapa mnaongelea pumba zipi.?
  8. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Kaka siku ntakuja tupige miselee nione wese la 20k linavoenda bagamoyo na kurudii
  9. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Ipi ni better kwa hapa kwetu petrol au diesel na fuel consumption vip
  10. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Habari Bandungu.! Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption. Natanguliza Shukrani wakuu
  11. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mkuu mm juzi nimetoka Mwanza Saa 12.30 asubuhi, nimefika dodoma saa 7.30 kamili mchna. nimekaa dodoma for 3hrs nimeondok saa 11 kasoro nikafika iringa saa 2 kasoro nikazuga zuga kama 15 minuts hivi kujaza mafuta na kupata soft drink niliondoka iringa saa 2 na madakika by saa 6 kasoro usiku nili...
  12. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    We jamaa nahis ntakua nakufahamuu. Na mimi nipo Rukwa.
  13. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza Spares original za Mercedes?

    +255 783 526 000 Mcheki huyu jamaa wanazoo
  14. Pirate of Carribean

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ukiwa unatoka mbeya unaenda dar safari ina anzia igawa [emoji28]
Back
Top Bottom