Recent content by Pioneer

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lissu awataadharisha watanzania: Magufuli hana jipya

    Ni kweli, Watanzania tukishindwa kubadilisha mfumo mbaya wa kiungozi chini ya CCM mwaka huu 2015 tutegemee mateso zaidi miaka mingine kumi ijayo. It's high time for Tanzanians to about a positive and serious political changes. Bluntly put, CCM must be ousted!
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Migiro hafai hata kidogo kuwa hata waziri achilia mbali uraisi. Hilo limedhihiri katika bunge la 10 lililokwisha juzi ambapo alionyesha udhaifu mkubwa wa kiuongozi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ninalaani vikali udhaifu wa Kiti cha Spika na aibu ya Taifa letu

    :A S shade:Kusema kweli Spika na Naibu wake ndio haswa vinara wa yote haya yanayotokea Bungeni sasa hivi. Kimsingi hawako kwa maslahi ya taifa hili bali wanaonekana dhahiri shahiri kwamba wako kwa maslahi ya CCM, chama ambacho walalahoi wote tunakipigia kelele kwa kushindwa kututoa kwenye dimbi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hongereni wananchi wa Singida Mashariki, kwa kutuletea mbunge wa taifa

    Ukweli utabaki kwamba Mh. Tundu Lissu ni mzalendo, jasiri na mahiri katika shughuli zake. Nchi hii ili ipige hatua tunahitaji watu kama Lissu na vijana wa CDM kama akina Mnyika, Wenje, Godbless and the list goes on.... Wanaoiponda CDM wanajipendekeza kwa CCM kwa sababu za maslahi yao binafsi na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania CV ya waziri kivuli wa mambo ya Ndani: Vincent Nyerere

    Nadhani cha msingi hapa wanajamii ni kuibua issues na kisha kuijadili katika misingi ya kujenga na wala si kubomoa. Naamini kabisa kila mwana JF ni Mtanzania mzalendo wa nchi hii. Kwahiyo JF ni uwanja mzuri wa kuelimishana na kukosoana bila kutukanana wala kukashifiana. Tukivumiliana kimawazo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Introductory Note

    Hi JF family, I am a new member registered over a couple months back. However, I have not posted anything just yet because I'm still acquainting myself with the forum. The forum has much to offer and so one has to familiarize his/herself with all the interesting aspects that the forum offers...
Back
Top Bottom