Recent content by Pionaire

  1. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Hizo za kilimo na mifugo hapana mkuu, maana juzijuzi tu NILIENDA KWENYE INTERVIEW UTUMISHI DODOMA KULE ASHA-ROSE MIGIRO....YANI WALIKUWA WENGI HAO WATU KWA WALE WA MIFUGO WALIKUWA 1600...NA NAFASI ZILIKUWA 30 TU. EBU IMAGINE😁😁😁
  2. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Well said mkuu...ngoja ajaribu kwanza, nafahanu changamoto ya hawa madogo waliotoka form.4 kweny hizo kozi za diploma ni vijana wa form.6 waliokosa kwend bachelor...huwa wanaangaliw sana kuliko wao.
  3. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Sawa, ila sijaelewa kitu mkuu...kwamba izo D za Mathe na Physics kakosa vigezo ama?...maan navyoelewa mimi D ni pass tayari kweny matokeo na kwenye izo kozi wanataka principal pass tu kwenye hayo masomo uliyotaja wew...kwahiyo vigezo anavyo kabisa. AU NIMEELEWA TOFAUTI NDUGU?....Cheki apo chini...
  4. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Pia naomba kufahamishwa juu ya ile BIOMEDICAL EQUIPMENT ENGEENERING YA DIT NI SAWA NA ELECTRICAL & BIOMEDICAL ENGEENERING INAYOTOLEWA PALE ARUSHA na MVUMI?
  5. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Mkuu hao watu nao wamekuwa wengi sana mtaani...nina mtoto wa ndugu yangu kapiga hiyo...ana miaka 3 haja ajiriwa bado.
  6. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    sawa shukran ndugu... HIVI NAOMBA NIJUZWE KUNA TOFAUTI GANI KATI YA CLINICAL DENTISTRY NA DENTAL LABORATORY TECHNOLOGY?
  7. Pionaire

    Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D). Alipangiwa...
  8. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ni kwel mkuu...umenena vyema kiuhalisia ilifika hatua huwez shinda Category utakayoingia na messi regardless of your achievement...BORA WAMEMALIZA DYNASTY YAO ILI WENGINE NAO WABEBE SASA. YANI HAKUNA KITU KILINIUMA ROHO KAMA...WALIVYOMNYIMA LEWANDOWISKI WAKATI NDO ALIKUWA KWENYE PEAK YAKE PALE...
  9. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mkuu...Dunia Nzima imeona kwamba HAALAND KANYIMWA TUZO YAKE STAHIKI NA WAKAMPA ILE YA STRIKER BORA ILI KUTULIZA TU KELELE....LAKINI SIO MBAYA JAMAA BADO MDOGO NA PIA YUPO KWENYE TIMU YENYE KOCHA BORA NA YENYE NJAA YA MAKOMBE....HIVYO LAZIMA ATAKUJA KUIBEBA TU HII TUZO... WEE NGOJA KDB ARUDI...
  10. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Daah!...yani nimesoma POST YA UYO JAMAA NIKAHISI KUCHEKA SI KUCHEKA...MAANA ALICHOANDIKA ANAKIJUA MWENYEWE.
  11. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hatariii anajua sana mkuu...anakwambia "WELCOME TO MANCHESTER...A CAPITAL CITY OF PREMIER LEAGUE...20 OF IT'S 31 CHAMPIONS ARE FROM HERE"...
  12. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tena uyo dogo wenu PELLISTRI Ndo aliongea pumba kabla ya mechi ya jana....kuwa "Akitokaga na girlfrend wake kuzunguka pale jijini manchester haonagi mtu ata mmoja akiwa amevaa jezi ya City"....Pep alivyoulizwa ilo swali na pundit nae akajibu kisiasa kuwa " Atajaribu kuwauliza Puma kwanini jezi...
  13. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu sio mzuka tu KIUKWELI MANCHESTER DERBY...haivutii tena maana ni ONE SiDED FOOTBALL mshindi anafahamika....na sio ilo tu Man united wanashindwa ata kuonyesha kandanda safi dhidi ya wapinzani wao Man City... Hivyo DERBY YA MANCHESTER IMEPOTEZA MVUTO KULINGANISHA NA DERBY NYINGINE PALE...
  14. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Na katika hali kama hii...kinachofuata ni kukaziwa adi na watoto wadogo yaani apa kina palace na wolves wale....maana wanaamin wakikomaa kwako wanachukua points vizur tu kwakuwa wanajua hivi sasa Man Utd ni papatu papatu na hamshindi kwa uwezo wa timu kama timu. Dah!...hii timu yenu ni bora...
Back
Top Bottom