Recent content by Pinterest

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ebu tuichambue hii ramani ya nyumba, kwanza sijapenda dining kuambatana na choo, kipi kingine umekiona?

    Ramani ya hovyo sanaa. Vyoo vitatu vyote ni public, na kimoja kuingia hadi utoke nje! Bora bedroom 2 zingekuwa na choo ndani, choo kilichobaki kiwe public. Jiko linalingana ukubwa na store yake? We uliskia wapi? Punguza ukubwa wa store, ongeza jiko. Halafu store ya jiko ina mlango wa kutokea...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Yani ufungue wasap yako mwenyewe, bila kushurutishwa ufungue status za watu, zikukere, uje utufungulie thread..kweli?? Nimelia sana.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Unakasirika huku bado unaendelea ku-view 😂, si uache? 😂
  4. P

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

    Onesha sehemu uliyosaini kwamba utalipwa salary tarehe 18. Fanya hv, andika barua nzuuri yenye haya maoni, peleka kwa HR wako 😂
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuogopa kufa kama hukujua ungezaliwa

    "1. Mara utaingia motoni, mara peponi. Nani amewahi kwenda kule? " "2. Kama ulivyokuwa hujijui ulipozaliwa, ndivyo itakavyokuwa utakapokufa." Swali: We umejuaje itakavyokua utakapokufa, umewahi kufa?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mtumie mama yako pesa, acha kuwapa pesa matajiri wanaoitwa wachungaji, mitume na manabii

    Hutaki jua zinapoenda ama unakaza ubongo? Wakitaka range wao wanaomba sadaka, tukitaka sisi wanatuombea 😂. Maelekezo ya kumpa Mungu kupitia chombo cha sadaka ni maandiko ama ubunifu wako mwenyewe? Sadaka hupewa watu hawa: yatima, masikini, walioharibikiwa safarini, watu wako wa karibu (wazazi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku-deal na Gold digger

    Kwa io akiomba tu hela uzi tayari? Fanya hivi, mfungulie Forum..tuiite Gold Digger 😂😂
  8. P

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku-deal na Gold digger

    Tafuta hela ndo uache kuita watoto wa watu gold digger. Akiomba laki 5 si utamfungulia kesi kabisa? Usipomtunza tutakutunzia, kutunza na kukaza vinaenda pamoja . Elfu 30 ni ku dig gold ama kuchimba chumvi 😂😂?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

    Labda upo sahihi. Fikiria na upande wa pili; kabla hujazaliwa, hukuwepo (mfano wake ndo tuseme ulikua mfu), kisha ukazaliwa kupitia hatua za ajabu - mbegu za uzazi (mfano wake ndo kufufuka). Mfano mwingine, usiku unalala, hujitambui (mfu), asubuhi unaamka (unafufuka). Hapo vipi?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Dogo bado mchanga sana. Chukua hii shule; Alipaswa aseme hivi: "Nisamehe mume wangu, sikukusudia kukukosea." Ukiangalia in 6 dimensions hayo maneno yake ya mwanzo ni kama kejeli, sio msamaha.. anasema "kama", so haamini kama kakukosea. "Ukiwa na Mb nakuomba jifunze" ... Kwa hiyo dogo kuna muda...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Simba yatakiwa kulipa gharama viti kung'olewa kwa Mkapa

    Waraka wa serikali unaandikwa 'kuwanakiri', 'havikubariki'!! Hii ni maajabu. Hamfanyi proof reading? Toeni vilaza huko wizarani haraka sana.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

    40,000/- x 30days = 1,200,000/- mkuu we ungeuza ama ungekalia?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

    Makonda wengine hadi nafasi ya kubembea mlangoni wanakosa inabidi waje na bodaboda
  14. P

    JamiiForums Tanzania Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

    Ukipewa Abood/Shabiby devera uwe wewe uweke na kutoa mizigo kwenye buti, utatoboa?
Back
Top Bottom