Recent content by Pinky Wacky

  1. Pinky Wacky

    Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Hata Ukipata Msiba usipoangalia unaweza ita Shehe akufanyie ibada maana Kanisa linagoma,mchungaji harushi mguu msibani. Bahasha ya ahadi lazima iwe imechangamka changamka kidogo umejaza raw kazaa palee.
  2. Pinky Wacky

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Watu hawatoacha kujichukulia sheria mikononi endapo uonevu huu utaendelea,eti paki gari pale Mimi sipaki nalizima nakaa hapo hapo. huwezi kuja kusimama mbele yangu wakati naendesha halafu ushuke uniambie paki pale na manguo yako ya kiraia. kisa tu umenyoa una kipara ndio nijiongeze au kisa...
  3. Pinky Wacky

    INAUZWA Brand New Cisco Switch WS-C3650-48

    Hairuhusiwi,Sheria za JF na Miongozo yake ipo wazi.
  4. Pinky Wacky

    INAUZWA Brand New Cisco Switch WS-C3650-48

    Tangazo lako halitoboi Asubuhi ya kesho kama unabisha ngoja nimuite kiranja wa Zamu Moderator, Msikie kijana anasema tuangalie model number ndio ina picha
  5. Pinky Wacky

    Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

    Cyanee naomba kama utanisaidia kupata Ka ramani kazuri ka chumba kimoja na choo chake,chumba kikubwa wastani ila kachumba kawe na paa la kuficha kama hilo,ikikupendeza unipe gharama za ujenzi na gharama za nyumba mpaka nahamia. Kama Mungu akipenda na wewe ukipenda pia nitafurahi ukiwa fundi...
  6. Pinky Wacky

    Hivi wana-JF, mnamfahamu mnyama huyu?

    "xaidi" ndio nini?
Back
Top Bottom