Msiharibu biashara za watu,serikali inachukua pesa nyingi kwenye viwanda vya sigara,Leo mnazugumza watu wanaokufa kwa uvutaji sigara he mmejiuliza Ni watu wangapi hufa kwa kutokutumia hiyo sigara?acheni watu wavute kwa maana zinatengenezwa ili zivutwe na binadamu,na sigara haivutwi na...
Maelezo Ni mazuri kwa Mimi mwananchi wa kawaida ninafikiri katiba ndio Dora nchi,maana huwezi kuamua Jambo lolote bila kupitia muongozo ambao ndio katiba.kinachotakiwa viongozi wa serikali ya ccm wakubaliane na takes la wananchi ambao walishiriki kutoa maoni yao,hivo Basi katiba itatuondolea...
Yote haya Ni kumshauri mama yenu kwa kumdanganya,ati ameupiga mwingi,hiyo makamba piga chini,abdalah kinana,na wengine wengi wanaosemwa kuwa kundi la msoga Bora uondoe sura hizo zinakudharirisha,kwa mie Ni mtu mdogo hamtanielewa Ila ujumbe umefika.
Habari Kama hii nzito ikaandikwa mitandaoni Ni fedhea kwa nchi,hapo mmechengana nyie na mkataka msimpe mwenzenu mgao wa Hilo jiwe,kitu kimeshatoka mikononi mwako na Wala hukuona Wala kuhoji wakati jiwe Hilo linaondoka inaonyesha udhaifu wa usimamizi kwa Mali za kitanzania,jiwe liko sokoni na...
Hata yote yanasababishwa na wanaccm ambao hawataki kuambiwa ukweli,ukweli huwa unauma owe taasisi,mtubinafsi na makundi mengine,Sasa ili kuyaondoa haya Ni kuutoa mfumo uliopo Sasa na watanzania mjutie haya yanajitokeza kwenye tawala za ccm.
Tafadhalini sana tulishawaambia wale wasio wachadema msipende kumshauri,kwani Nia zenu ovu nasio njema,lakini kwa uwezo wa mungu sie tutaweza kuyamaliza na sio mtu atokee ccm kuishauri chadema nendeni mkashauri chama chenu.mlidhani chadema itakufa ng'o Wala msiwaze hayo tupo juu kwa kijigitali.
Kuwachangia mawakili sio kosa Ila kunawatu wanatafuta shali kwa chama husika,kwani muuliza swali zinamuhusu Nini hizo pesa hata Kama zinapigwa Nani kamuomba achangie mawakili wa kumtetea m/kiti wetu?tuache unafiki wa kuchokonoa yaliyopo ndani chama.
Hapa hakuna Cha kujadili viraka,tunahitaji katiba iliyochambuliwa na tume ya walyoba ambayo walipiga kila mkoa na wilaya zake.tunataka Sasa katiba rais asaini ili tuipigie kura watanzania
Tanesko kuna siku tanesko tutawapeleka mahakamani kwa kukatakata na kuwasha, hii inaonyesha wazi kuna kamchezo kanafanywa na manegiment ya tanesko, tafuteni njia mbadala ya kunusuru tatizo lenu la Zima na kuwasha huu michezo muuache mnakela mno.
Wake wanaombeza Mbatia Ni watu wasioelewa katiba vizuri,na ndio haohao wanasema katiba inafaa ileile,ndio maana mataifa mengine yatushangaa kwa kushindwa kudai haki yetu kwa vitu ambavyo vinatuumiza,mf hizi tozo za miamala zinapigwa mchana kweupe na hazionyeshi exp date,watu wanajiuzulu tu bila...
Nilishasema kuwa nchi hii inakuwa kikwelikweli,hata hizi bado wanadai hazitoshelezi kumaliza huo mjengo.kwakuwa watanzania tunakamsemo "hakuna shida"wakati maumivu unayapata haikusaidii,hivo Basi tufike sehemu tuseme Sasa Basi inatosha ili Hawa wanaolihujumu Taifa Hilo wafikishwe mbele ya sheria.
Mengine yote fanyeni kwa kuwa bunge Hilo Ni la kijani hakuna rangi nyingine itakayo ingia,tunachotaka sie Ni katiba tu na tume huru ya uchaguzi ndio tutaelewana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.