mzee wee mvumilivu sana na uendelee kua hivyo. It happened to me toka aliponitukana hamu ya kuwa nae ime[otea kabisa kwenda zero. we used to talk on phone daily but now hata week inaweza kupita hatuwezi kuongea kabisa. Na hata tukiongea sinaga maneno ya kuongea nae. Naishi mtaani kwenda nyumbani...
Huyu mtu amekua kamishina wa madini kwa muda mrefu sana mpka alioamua kuwa mwanasiasa. Huyu ni sehemu ya watu ambao vyombo vya dola wameambiwa wawachunguze. Hakuna haja ya kueleza hasara atuamie yeye alifanya nini kutimiza matakwa hayo ya kisera.
sio kama unavyofikiri, kuna wengine wakitoka wako fiti balaaa ila kwa mke shida. Hapa inachangiwa na mazingira pia wakati mwingine ukiwa nje mnakua safe zaidi kiusalama kuliko nyumbani kwenye watoto. So mazingira yanachangia sana japo hata usafi pia. Ukikuta mwanamke anaintertain watoto hadi...
Huyo msichana hakuheshimu kabisa na ukiendekeza urafiki wao hata ukioa hauishi. Utasikia ulinikuta nina marafiki wa kiume na utaendelea kuumia maisha yako yote. Mimi ni kweli nimewahi achana na msichana kisa hayo mambo ya urafiki na wanaume ulizidi. Mimi ninachojua hakuna urafiki wa jinsia...
Haya ni mashambulizi binafsi juu ya mtu. Sidhani kama marafiki ni watu muhimu sana kuliko kazi. Kazi inakupa kula marafiki wanakupa kula? Mimi nafikiri tumuache afanye kazi inatosha tumemsema sana. Hoja ya marafiki sio hoja lete hoja za maana hapa tujadili. Kama unavita binafsi usifike hapa...
utaweza hii kazi kila siku. Halafu kuna mambo ya aibu hasa kumtreat mtu mzima kama mtoto. Haipendezi kabisa cha msingi ni kufanya kazi zingine papuchi zipo tu na kipindi cha JPM hiki. Mtaani heshima imerudi, wanagombea kama mpira wa kona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.