iringaraha
New Member
- Jan 18, 2017
- 4
- 0
Ninauza kiwanja kipo manispaa ya morogoro kata ya lukobe kimepimwa na kina ofa ukubwa wake ni 30 kwa 40, bei ni 3,800,000 kwa mawasiliano piga 0762282526
Ni morogoro mjini unapita mazimbu campusLukobwe ni morogo mjin au maeneo gan
Lukobe sehemu gani mimi ni mwenyeji wa huko morogoro na natafuta kiwanja! au nipe namba ya kiwanja nitakifahamuNinauza kiwanja kipo manispaa ya morogoro kata ya lukobe kimepimwa na kina ofa ukubwa wake ni 30 kwa 40, bei ni 3,800,000 kwa mawasiliano piga 0762282526
Mbona simu yako haipatikaniNinauza kiwanja kipo manispaa ya morogoro kata ya lukobe kimepimwa na kina ofa ukubwa wake ni 30 kwa 40, bei ni 3,800,000 kwa mawasiliano piga 0762282526