Boeing na MC Douglas ni kampuni mbili tofauti, yani hapa ni sawa na kusema Scania Toyota. Hata hivyo kampuni hizi zili merge miaka ya 90 na facilities zote za MC Douglas zilichukuliwa na Boeing.
Wakuu naitaji kununua suzuki swift 2007, cc <1500 toka japan. Na viela vyetu ndio hivi hivi vya kuunga, nilikuwa nauliza kwa yeyote mwenye kujua chochote hivi ulaji wake ya mafuta upoje? Upatikanaji na bei za spare zake upoje? Alafu kwa kuzingatia hii bajeti mpya hushuru wake unaweza ku-range...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.