Recent content by Pilipili mboga

  1. Pilipili mboga

    Matatizo yanayoambatana na ukomo wa hedhi

    Ukomo wa hedhi ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kuziona siku zake kama ilivyokuwa tangu anavunja ungo. Kitaalamu, hiki ni kipindi ambacho mwili wa mwanamke unaacha kuzalisha homoni za Estrogen na Testosteron ambazo ndizo zifanyazo kazi ya kupevusha mayai kila mwezi. Mwili unapoacha kuzalisha...
  2. Pilipili mboga

    Faida 20 za mazoezi ya kutembea

    Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa. Faida 20 za mazoezi ya kutembea 1. Mazoezi husaidia kupunguza...
  3. Pilipili mboga

    Tuwapikie nini kuepuka matatizo ya nguvu za kiume/vyakula vya asili?

    1. Kitunguu saumu Chakula punje 8 mpaka 10 za kitunguu saumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 2 kwa mwezi mmoja. Pia hakikisha kila chakula unachopika basi kitunguu saumu lazima kiwemo kama moja ya viungo na ukiweke mwishoni kwamba kisiive sana...
  4. Pilipili mboga

    Kichaa kapiga simu hospitalini

    haha, basi labda alijidanganya
  5. Pilipili mboga

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Bawasiri ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kiingereza hujulikana kama haemorrhiids au piles. Bawasiri inawaza kupeleka upungufu wa damu mwilini. Bawasiri inaweza kutibika ama kwa upaduaji ama kwa matumizi ya dawa...
  6. Pilipili mboga

    Kichaa kapiga simu hospitalini

    Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie KICHAA:pouwaaaaaaa NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna mtu,kwanini umeuliza hvyo…..? KICHAA:nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka au bado nipo
  7. Pilipili mboga

    Vidonda vya tumbo kwa mama mjamzito

    Mwanamke mjamzito anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito. Hata hivyo tafiti nyingi zinathibitisha idadi ya wanawake wajawzito wanopatwa na vidonda vya tumbo kwa sasa ni ndogo sana. Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa nini kitakuwa ndiyo...
  8. Pilipili mboga

    Zifahamu faida ya kutumia tangawizi katika mwili wa binadamu

    Ni kiungo ambacho kinatokana na mizizi ya mmea wa tangawizi. Mmea huu unafanana sana na binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Na kwa hapa Tanzania tangawizi hulimwa sana mikoa ya nyanda za juu kusini na baadhi ya mikoa ya kama Kilimanjaro, baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara, Morogoro...
  9. Pilipili mboga

    Vyakula vinavyoongeza Kinga ya mwili

    Nakutakia afya njema, asante kwa kusoma:p:p:p:p:p
  10. Pilipili mboga

    Vyakula vinavyoongeza Kinga ya mwili

    Asante kwa kusoma nitatoa zaidi kama ukipenda:D
  11. Pilipili mboga

    Vyakula vinavyoongeza Kinga ya mwili

    Natumai nitakusaidia;)
Back
Top Bottom