Recent content by pilikapilika2013

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Naitwa Jane,niko Urambo Tabora
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Mimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu, Namba ni 0625221348
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wenye sifa hizi

    Mambo vipi jamani! Mimi ni binti miaka 24, natafuta mume awe mcha Mungu. Simu namba 0788894641
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kisheria inakuwaje mtuhumiwa akileta ushahidi wa kughushi, naweza nikamfungulia lingine?

    Sawa, hivyo naweza fungua madai mengine kutokana na tukio Hilo na likawa na hukumu yake inayojijegemea ?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kisheria inakuwaje mtuhumiwa akileta ushahidi wa kughushi, naweza nikamfungulia lingine?

    Naulizia, inakuwaje kisheria kama Mtuhumiwa amewasilisha hati ya ushahidi iliyoghushiwa, Mbali na kuikataa isitumike, Je naweza nikafungua Shauri jingine dhidi yake Kwa kughushi nyaraka?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka asubuhi, tatizo ni nini?

    Hata mkoa wa Tabora hasa wilaya ya urambo tuna mwezi mzima umeme unakata asubuhi na kurudi ni usiku wa manane,nahisi mgao umerudi japo hawataki kusema
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria pitieni hapa

    Mm ndo niliomba mkopo lkn sikupewa mkopo huo,hadi bank wakaanza kunikata kwenye mkopo bila kuwa wamenipa mkopo,sasa nilikuwa napatiwa ushauri na mdau ndo akaniuliza kuhusu kipengere cha dhumuni la mkopo ili anisaidie namna ya kudai fidia,mm nikamjibu kuwa ktk mkataba ule sikuona kipengere cha...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria pitieni hapa

    Uwezo wako w kufikili ndo ulipoishia,km haujui sheria n heri ukae kimya,si lazima u uchangie kila kitu?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria pitieni hapa

    Kama haujaelewa ni heri kukaa kimya kuliko kuleta ujuaji usio na faida na mwisho ni kuonekana mweupe kick kichwani,
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kisheria hapa

    Napenda kujua ikiwa mtu au taasisi ikitoa mkopo kwa mtu mwingine lakini ikitokea katika mkataba husika hakuna kipengele cha "loan purpose na madhala yakapatikana ktk mkopo huo, nani kati ya mkopaji na mkopeshwaji atafaidika na hali hiyo mahakamani?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria pitieni hapa

    Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kuanza kukatwa mshahara kabla ya kuchukua mkopo ni halali kisheria?

    Bayport, Mahakamani ndo naelekea
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kuanza kukatwa mshahara kabla ya kuchukua mkopo ni halali kisheria?

    Ndo maana naangalia uwezekano wa kwenda mahakamani ili wakajieleze huko
Back
Top Bottom