Recent content by Pilato wa Tz

  1. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba awapa 'onyo' wote waliobadilisha na kupaka rangi Ofisi za CUF huko Zanzibar na kushusha bendera

    Tuliwapa nyumba zetu na sasa tumezitwaa. Waache wapake rangi
  2. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni na vijembe, CCM ilani inatekelezwa

    Sasa ndio umeandika nini bibie?
  3. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad atangaza kuihama CUF na kujiunga na ACT-Wazalendo

    Kuna wakati niliwaza Kama wewe
  4. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Walishampa ile tuzo ya ndege Kutua kwa dharura kwanza?
  5. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Inayoheshimika na Nani?
  6. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

    Nilishawahi mwambia mke wangu siku nikirudi nikakuta wanaangalia TBC huo ndio utakuwa mwisho wa kuangalia TV maana nitaipandisha darini
  7. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Hawa si ni wale waliosema jiwe atapewa tuzo ndege Kutua kwa dharura?
  8. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

    Hata saa Saba mchana haitafika
  9. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

    Kupata vichekesho Kama hivi tuma neno PMJ kwenda 505040
  10. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Hapajawahi kuwa na kitu hii tangu dunia iumbwe
  11. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

    Tupe link tukajionee wenyewe yaliyomo yamo? Sisi sio spoon feed Kama wewe. Hiyo analysis imetoa ni sababu gani SSM iibuke kidedea hivyo?
  12. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Mungu ni yapi? Yupo katika umbo lipi? Kwanini hakuna tangible proof ya uwepo wa Mungu

    Yaani hata sijui umeandika nini, huenda simu yako ilijiandika yenyewe ikiwa kwenye mfuko wa dela! Je, Existence ya kitu hupimwa kwa kitu chenyewe kuwa tangible tu? Ulishawahi kuona upepo? Ulishawahi kuliona joto? Just because sio tangible haiondoi uhalisia kuwa hivyo vitu havipo. Bandiko lako...
  13. Pilato wa Tz

    JamiiForums Tanzania Hii ndo kete aliyocheza Maalim Seif yenye akili

    Wewe unaejitia unaielewa hebu tueleze inasemaje! Maana naona Kama unajipa moyo huku uweli ukijaribu kujisahaulisha kwa makusudi
Back
Top Bottom