Recent content by pig man

  1. pig man

    UDART (MwendoKasi) Lipeni Mishahara wafanya kazi wenu

    Yawezekana ikawa sababu. Lakini serikali kuwa na hisa ilipaswa kusaidia uendeshaji. Maana huo mradi unahudumia jamii.
  2. pig man

    UDART (MwendoKasi) Lipeni Mishahara wafanya kazi wenu

    Inatia aibu na huruma kwa wafanyakazi wao. Hivi huu mradi na serikali si ina hisa zake? ,
  3. pig man

    UDART (MwendoKasi) Lipeni Mishahara wafanya kazi wenu

    Habari za asubuhi wakuu, asubuhi ya leo nikiwa natokea zangu Morocco kuelekea mjini kutafuta mkate wa kila siku kwa kutumia usafiri wa mabasi ya mwendokasi, nimeshangazwa kuona dereva wa basi nililopanda kutoka Morocco kwenda Kivukoni akilalamika kuwa hajapewa mshahara hadi sasa. Nimeshangazwa...
  4. pig man

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hii AH1(-1,-1.5) Ina maana gani?
  5. pig man

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme mnakata hovyo hovyo. Jana umeme umekatika asubuhi saa mbili umerudi SAA sita usiku, muda huu asubuhi hii tayari mmeshakata, hivi mnataka sisi wajasiliamali wadogo tunaotegea umeme tuishije?. Shirika la Tanesco mna maudhi mengi kwa kweli. Umeme wenu sio wa uhakika.
  6. pig man

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukizingatia Leo neymar hayumo ni sheedah
  7. pig man

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mpira umekwisha. Afadhali maana duh. Halla Madrid.
  8. pig man

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco siwaelewi kabisa, mbagala wiki hii tu umeme umekatika kuanzia asubuhi kurudi jioni zaidi ya Mara tatu. Tatizo ni nini?. Muda huu Leo tayari wameshakata, hivi kweli sisi wajasiliamali tunaotegemea umeme kusukuma maisha tutajikwamua kweli kwa mtindo huu?. Tafadhalini rekebisheni hizi kasoro.
  9. pig man

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa jamaa noma xana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. pig man

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kwa nini mbagala siku za jumamosi umeme huwa lazima asubuhi ukatike mnarudisha jioni. Kwa nini jumamosi mnatuhudhi sana. Sir wengine weekend ndo siku za kutulia nyumbani na familia zetu. Mnatuboa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. pig man

    Hakimu aliyeshambuliwa kwa mapanga mkoani Mtwara afariki dunia

    R.I.P hakimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. pig man

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Aisee, too sad, Get well soon wakili msomi Tundu Lissu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. pig man

    January Makamba amnanga mzee Mengi baada ya kumsifu Magufuli, adai vyombo vyake vilikuwa upande wa pili

    Makamba aache unafiki, kipindi cha kampeni hakuna kituo kilitenda haki kwa pande zote za wagombea kwa kutoa taarifa za habari zenye uwigo mpana kama ITV, kumbuka hata Emmanuel Buhohelah aliyekuwa mtangazaji wa ITV kwa sasa ni mwandishi wa habari wa ikulu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. pig man

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weka falkenberg vs gefle pick falkenberg win na Chelmsford vs bognor pick over 2.5. Usisahau kuleta mrejesho. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom