Recent content by pierreseven

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rasmi kwa ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kuacha pombe Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie

    Ndugu yangu watu wanaacha SHULE au VYUO sio POMBE... utaja nambia Afu mwenye kuacha hatangazi
  2. P

    JamiiForums Tanzania Majina Asilia

    Habarini za mwaka mpya wa serikali bandugu ba JF.... Hivi ukiachana na jina Lako unalotumia kwa social media au jina lako lingine la kizungu au kiarabu... Ni jina gani ulionalo la KIASILI ambalo unajivunia kuitwa .... Ukiachana na Peter Mimi naitwa MTONDA..... wewe jina gan la asili unajivunia...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

    Kula makande kwa sana na mayai ya kuchemsha afu shushia na juice ya parachichi
  4. P

    JamiiForums Tanzania AFYA: Nawezaje kupunguza uzito

    Nenda kambi ya jeshi ukisimamishwa watukane... utapungua uzito kwa siku moja tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu sifa za mtu mwenyewe kundi la damu AB-

    Habari wana Jf... Hope mko wazima.. Napenda kujua sifa za mtu mwenye blood group AB(-) negativ kiafya zaidi na kinga yake ki maambukizi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi gani nisome kufikia malengo yangu?

    Kasome urubani
Back
Top Bottom