AFYA: Nawezaje kupunguza uzito

AFYA: Nawezaje kupunguza uzito

Piga sana push up, piga sana plunk, ruka sana kamba piga sana squatting, kimbia sana

Utanishukuru
Afanye intermittent fasting(aanze na 16 hrs then 18 hrs mpk 48hrs na afanye mazoezi ya kutembea ya kawaida kabisa.

Tatizo mtu hapa anakuja kuomba ushauri akitaka aambiwe maneno laini laini Kama vile kunywa maji ya Moto asubuhi kabla ya kula kitu chochote na story za dizaini hio.

No pain,no gain.
 
Umeua mkuu, no pain no gain its obvious.. Mambo ya pushup mbili na utarajie mabadiliko makubwa huo ni uchawi
 
Wakuuu nimepima uzito nina kilo 105, ushauri wenu wa namna ya kuzikata nifikie 80.
Haya matatizo ya kipato mkuu.. Ulaji wa "misotojo" n kukaa mda mref bila kufanya kazi. Fanya mazoezi kwanza alafu ushaur wa mlo utapewa.

Mimi natamani niache mazoez ili niongezeke uzito Hali mbaya msosi hautoshi. Kam uko Dar(mbagala) nitafute nikusapoti na mazoezi kwa miez kadhaa upungue
 
Mungu ni Roho na hapangiwi pa kuingia sababu yeye ndiye mwenye kila pumzi ya kiumbe kilicho hai
Ni kweli kabisa mkuu, ila kumtegemea kwenye vitu vidogo namna hii ni kumkosea sana…. ni sawa na kutilia shaka uweza wake.

Eti Mungu asaidie kupungua uzito.!!!!!
What a joke.!!!
 
Ni kweli kabisa mkuu, ila kumtegemea kwenye vitu vidogo namna hii ni kumkosea sana…. ni sawa na kutilia shaka uweza wake.

Eti Mungu asaidie kupungua uzito.!!!!!
What a joke.!!!
jamani
 
Mkuu mchawi ni chakula tu, kula sana majani, komaa mwezi tu, pia achana na vinywaji vya sukari, utapungua hata kilo hamsini ndani ya siku 90 tu.
Majani si yana mafuta mkuu au ale mabichi
 
Mkuu njia rahisi ni hii

Kama wewe sio mtu wa kula mara kwa mara unachangamoto ya metabolism na ulaji wako hauzingatii muda wa kula fanya yafautayo.
Funga kula kwa muda wa 16hrs kila siku ndani masaa nane kula anything lakini for better and faster result punguza wanga ongeza majani.

Mfano wiiki 1 hadi 2 kula saa nane mchana hadi saa moja jioni baada ya hapo usile chochotehadi kesho muda kama huo wiki ya 3 badilisha muda kula saa kumi jioni hadi saa 2 usiku wiki ya 4 kula saa 6mchana hadi saa 11joini kisha rudia kwa mtiririko huko.

Kumbuka unaweza kula chochote upendacho lakinj kwa muda huo tu.

Kwa majibu ya harakapunguza nyama za mafuta, pungiza wanga, na vyakula vyenye sukari nyingi kama soda au juice. Na usile mpaka uskie tumbo zimejaa kama baloon.

Faida yake utapungua pasipo kukonda na kuonekana nyama teptepe.
 
Ni kweli kabisa mkuu, ila kumtegemea kwenye vitu vidogo namna hii ni kumkosea sana…. ni sawa na kutilia shaka uweza wake.

Eti Mungu asaidie kupungua uzito.!!!!!
What a joke.!!!
Wakati imesisitizwa 'Usilitaje bure jina lake'. Huyo tayari kujiingiza matatani
 
Kupunguza inahitaji uvumilivu, maana siyo rahisi kabisa yaani unaenda kupunguza huku ukijua kabisa una kazi nzito.
 
Back
Top Bottom