Mbona mnapigana wenyewe kwa wenyewe? Huyo hapo juu Dr Akili kasema inapatikana kwenye ofisi zote za uhamiaji, wewe unasema Dodoma dar na arusha. Mbaya zaidi ukamalizia kutukejeli, eti tunashinda jf tu tukidhani ndio kwenye habari pekee.
Hapana tunakuja JF ili kupata jokes kama zako na habari...
unapotumia crack ni sawa na kumuibia kazi anaetengeneza software, anatumia muda mwingi sana coding, na ananunua simu kwaajili ya software development. cracks zinamrudisha nyuma na matokea yake anashindwa kutoa updates. You guys hamjui coding.......
Unapoweka file lenye password na namba za simu maana yake kuna biashara, sasa hapa ni jukwaa la kusaidiana na kuelimishana. ungepekela hii kwenye jukwaa la biashara mkuu, Mods mpo wapi?
Unapoweka namba za simu maana yake ni biashara, sasa hapa ni jukwaa la kusaidiana na kuelimishana. ungepekela hii kwenye jukwaa la biashara mkuu, Mods mpo wapi?
Kwakweli hali sio kabisa. Imenibidi niikumbuke router yangu ambayo niliitupa stoo. bahati nzuri nimeipata ila ina vumbi balaa, na sijui kama ina line ndani. ngoja nitawaabarisha.
kama mnavyoiona modem/router yangu ya smile, niliitupa baada ya kupata afueni na Vodacom, ila sasa nairudia maana...
umeonaeee? akinunua umeme wa luku kwa mpesa leo hapati unit zile alizokuwa anapata mwezi jana, sasa badala alalamike hilo yeye analalamika ya mama kanumba na lulu. kweli tanzania tutafika tu.
Hayo mambo unayaleta tuyajadili au? ni vema ukatafuta namba yake ukampatia maana sidhani kama anakujaga humu. kicha cha mada kinakuwa kama unamlenga yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.