Habari zenu wakuu,
Naomba kuuliza, ikiwa basi linalotoa huduma za kusafirisha abiria mikoani limechelewa kuanza safari bila sababu maalumu, abiria wanatakiwa kuripoti wapi?
Naomba kama kuna mtu anafahamu namba ya simu ya Serikali/taasisi zinazosimamia usafiri wa abiria atume hapa ili turipoti...
Mimi na wewe hapa tumeelewa umiliki na umuhimu wa kiwanda hiki na kwa nini kirudishwe kwa mwekezaji hata bure
Siku mama atapofanya hivyo, litaibuka kundi kubwa la kumpiga vita kuwa "anauza nchi", "anagawa Mali za serikali kwa mabeberu", "anagawia bure wapiga dili"
Hao ndio watanzania.. you can...
Habari za jioni wanajamvi
Mimi ni medical personnel. Ningependa kutoa walau mchango wangu wa mawazo katika ugonjwa huu wa COVID 19 na namna bora ya kuukabili ugonjwa huu.
Siko hapa kwa ajili ya kupinga au kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa kuhusu ugonjwa huu, bali ninaongezea katika kile...
Habari za jioni wanajamvi
Mimi ni medical personnel. Ningependa kutoa walau mchango wangu wa mawazo katika ugonjwa huu wa COVID 19 na namna bora ya kuukabili ugonjwa huu.
Siko hapa kwa ajili ya kupinga au kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa kuhusu ugonjwa huu, bali ninaongezea katika kile...
Please, self Isolate... likely ni Corona.. symptoms zinavyokuja huwa hazina formula.. kama umetembelea areas zenye local transmission, especially Europe na una flu like symptoms.. Isolate yourself to protect your loved ones.
Jitibu dalili: maji ya uvugu yenye chumvi kusafisha koo.. Kula vizuri...
Naomba nianze kwa kukupongeza kwa kueleza tatizo hili la ugonjwa wa COVID19 na usaambaaji wa virusi hivi kwa lugha nzuri kabisa na yenye kueleweka
Ujumbe huu unafaa kuwa copy pasted na kuwa shared kwa magroup ya whatsapp ili watu waelewe ukubwa wa tatizo na kuchukua hatua za kujikinga
Tatizo...
Kitu kimoja muhimu wafanyakazi wanatakiwa waelewe ni kuwa, kama serikali ikiongeza mapato kwa namna yoyote ile basi itaweza kuongeza mshahara. Lakini kama mapato yanadidimia kiasi inashindwa hats kuhudumia bajeti za wizara muhimu kabisa hats kwa 50% tu, basi tuelewe hali in mbaya!! Hawataweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.