Recent content by pianooh

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa kwa wale watu wetu tunaowategemea

    Kumbe nyie mkilipwa mnatuzuia tusiandamane?!.... Bora uzee kuliko uzembe, kuku Wewe.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Akili, tusikubali ujinga huu ! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 Kusimamisha Jitu la Hovyo!, Akachagua upinzani!

    Mayala, Mimi hasa nahitaji tuandike makala.nyingi sana zinzohusu kusrudishwa bungeni mchakato wa katiba mpya.... Natamani kila tunapoamka kwa uwezo wa Mungu tuongee kuhusu katiba mpya. Haiwezekani taifa lililojaa wasomi zaidi ya asilimia hamsini tushindwe kuweka shinikizo ili huyu Neo- dikteta...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Itifaki ya Ikulu ya Tanzania sasa imepwaya sana

    Ikulu imegezwa guest house.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    CDM imeshashinda tayari, kwani waleee ni malofa
  5. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nzito zaidi ya CCM

    [emoji106]
  6. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nzito zaidi ya CCM

    Ukweli saaaaanaa huo
  7. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

    Nawashangaa sana watoto wa Lumumba kuzidi kushadadia hii kamatia chini ya wapinzani, Hivi bado hamuoni mambo yalivyo ovyo ovyo, ? Ndugu zangu tuwe kitu kimoja kupinga huu utawala wa kikasuku.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    Daah, ukweli ni kwamba tunajifariji tu na kumpinga Sumaye, lakini walionenepa wanakoshakooh
  9. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa atofautiana na Makonda, ataka Magari ya Serikali yatengenezwe na TAMESA

    Hapo utaweza kujua kuku ni yupi na bata ni nani? Sifa inayowaunganisha pamoja ni kutaga..
  10. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

    Hapo safi, wambie ukweli Zuberi ucjal
Back
Top Bottom