Recent content by phytoscience

  1. P

    Waziri Mkuu na Serikali tunaomba msaada wenu wananchi wa Kimbiji, Kijaka na Somangila Kigamboni tunateswa sana na Ardhi yetu Halali

    Kama nilivyokuwa na imani na serikali yetu. Hatimaye mkuu wa Mkoa ametokea kuwasikiliza wananachi hakika niiepe heko serikali yetu. Kwa undani sikiliza hiyo https://youtu.be/yJfYZHUhx80?si=9s-4TYFHn2AgFsMV
  2. P

    Waziri Mkuu na Serikali tunaomba msaada wenu wananchi wa Kimbiji, Kijaka na Somangila Kigamboni tunateswa sana na Ardhi yetu Halali

    K Matatizo ni sehemu ya maendeleo kuna siku haki itapatikana ni naimani kubwa swana na viongozi wetu
  3. P

    Waziri Mkuu na Serikali tunaomba msaada wenu wananchi wa Kimbiji, Kijaka na Somangila Kigamboni tunateswa sana na Ardhi yetu Halali

    Kwa miaka zaidi ya ishirini wananchi wa kata hizo hapo juu kwenye manispaa ya Kigamboni tumekuwa kwenye hatari za maisha ya umiliki wa ardhi yetu umekuwa hauna hatma. Ilianza kwa Jeshi miaka ya tisini kuwa inaomba maeneo hayo kwaajili ya kufanya mazoezi na wananchi walikuwepo walikuwa wanawapa...
  4. P

    Kwa hiki kinachoendelea TRA sasa ni kitu cha kuchukua hatua

    Habari za leo. Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload. Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya kisheria yatekelezwe. Sheria inataka mpaka tarehe 30 sasa kufanya system iwe na issue wakati tunajua...
  5. P

    TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

    REST IN PEACE Mr Gwiyama, Hapa ndipo ninataka niwe na kipajia kama kile cha Mzee Mohammed Said katika kuandia Tazia ( na sio Taanzia kutokana na maelezo ya siku za karibuni) ili tuweze kuelewa Taifa limepoteza mtu wa namna gani. Kijana kutoka Magharibi ya nchi akiwa amejaliwa akili iliyotimamu...
  6. P

    Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Kama hili jambo tulilotangaziwa leo ni kweli sio cheap politics kuna maswali mengi sana ya kujibu. Ambayo mimi kwa hekima yalitakiwa yafanyiwe uchunguzi wa kisanyasi kwanza kabla yakutangazwa kwa umma maana madhara yake yanaweza kuwa mengi kuliko faida. Swala lolote la kitaalamu ni muhimu sana...
  7. P

    Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    JAMANI JAMANI Jamani jamani JAMANI JAMANI Jamani jamani JAMANI JAMANI Jamani jamani KWANINI KWANINI Tunataka kuharibu nchi yetu hii nzuri aliyotupa Mungu.
  8. P

    NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

    Hizi habari za kuunganisha UZI kwa kuwa zimesema neno fulani naona nayo sio sawa uzi niouanzisha nia jambo ambalo linahitaji macho na masikio ya shirika ukiunganisha inakuwa mtu aliyesoma kabla ya hayo anakuwa hano morali tena ya kuchangia. Mod tafadhali naomba uzi huo wakuomba kulipa kwa...
  9. P

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Hongera kwa kazi njema hii kitu iweke mahali pa reference kwenye jukwaa
  10. P

    NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

    Hakika yaani kwa hicho cha laki nane ni Tshs 66,000 sasa unaweka mtu akijiunga analipa Tshs 132,000/ a halafu anaendelea na hiyo 66,000/ Hii inakuwa ni business acumen na cha mamilioni inakuwa kwenye laki kadhaa kwa mwezi na kile cha 192,000/ inakuwa kwenye 16,000/ kwa mwezi
  11. P

    NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

    Napenda kuwapongeza sana kwa kuleta vifurushi mbalimbali ambaza kwa ukweli italeta tija kwenye ujenzi wa taifa. Ila nilikuwa na jambo moja ya kushauri shida kwenye kifurushi cha awali haikuwa sana kwenye fedha ila ilikuwa ni jinsi ya kulipa ni kwamba wafanyakazi wanachangia kila mwezi, ila watu...
  12. P

    John Shibuda: Adui wa Demokrasia nchini ni njaa ya wanasiasa na kusumbukia matumbo yao

    Hivi John Shibuda ni mwenyekiti wa chama gani cha siasa
  13. P

    Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma

    Pole ila kimising anza kufikiria njia ya kuongeza kipato chako. Uwe na budget halisi kutokana na mapato yako. Kuteleza sio kuanguka songa mbele huwezi kubadilisha ya jana ila tumia leo kubadilisha kesho
  14. P

    Lissu amjibu Ndugai. Asema anatekeleza agizo la Magufuli amfukuze ubunge ili amshughulikie uraiani, asisitiza anarudi Sept 07

    Tuna safari ndefur kuelekea democrasia ya kweli Mungu uwe jaji wa haki kama kawaida yako. Na waambia kuvuna lazima mtu atavuna count on me.
  15. P

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu na kumteua Anamringi Macha

    Kaka Fadhili pole lakini najua unajua kwamba yeyote anayekupa kazi ana uhuru wa kukutoa kazini we serve at the pleasure of Bwana mkubwa naamini katika vipaji vyako. Nilipokuwa natafakari nikaona hakunaga ambaye one way or another ajawahi kukutana na kushushwa ila kupandishwa is in making. Uzuri...
Back
Top Bottom