Recent content by physician2023

  1. P

    JamiiForums Tanzania Why can't this guy coexist peacefully with others

    Naunga mkono hoja yako.Huko Ireland ya kaskazini,Haiti,Kongo,Ukraine,Urusi,Mexico,Columbia,Vietnam na wengine wengi,ni waislamu?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Why can't this guy coexist peacefully with others

    .Christians to christians are not happy all over the world. Are not happy in north Ireland,Catholic and ptotestant.Are not happy Congo. Are not happy Rwanda.Are not in Rwanda Are not happy South Sudan.Are not happy in Kenya.Are not happy in Southern Uganda.Are not happy in Ukraine.Are not happy...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

    Hawa,wanaogopa kuibiwa,wanajua waarabu na wahindi,wanaogopa Polisi.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Gaidi Israel,ndio muoga,anapiga watoto na wanawake.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu wenye msimamo wa 'No Reform No Election'

    ELECTION FIRST, REFORM LATER
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ukitazama CV ya Elimu ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim utaelewa kwanini ametoa wazo la wenye Degree kwenda VETA

    Watu wengi.wanapadharau VETA,lakini ukiwa VETA kwa masomo pale,ndio utajua kuwa ni chuo cha uhakika,hao wenye degree na watembelee VETA,watashangaa jinsi elimu inayotelewa pale. VETA elimu ipo,na wanaomaliza,pale,wanajiajiri ki urahisi. sanz.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Ndio ujuwe,mapepo yako ndani yz nguruwe.Wale nguruwe waliuliwa na mapepo,mapepo mpaka leo wanaishi kwenye kizazi cha nguruwe,baada ya kuruhusiwa na Yesu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Mapepo ndio waliomba,waingie kwa,nguruwe.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Mapepo wanapenda nguruwe,ndio wakamuomba Yesu,waingie kwa nguruwe 2000.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Akupe mapepo,kama vile mapepo,yalivyoingia kwa nguruwe 2000,wakati Wa Yesu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Nguruwe,waliingiwa na mapepo wakati wa Yesu,.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Mapepo hawaohopi nguruwe.walimuomba Yesu,waingie kwa nguruwe,wakawaingia nguruwe 2000 na kuwaua,nguruwe wakafa.
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

    Pepo wachafu(majini wachafu)wanawashawishi wateja,waende.kama vile walivyomshawishi Yesu,awakubalie kuingia kwenye nguruwe,na nguruwe wale 2000 kufariki.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Umeandika ukweli mtupu.Mapepo yaliomba yaingie kwenye nguruwe,walimuomba Yesu,na walikuwa,nguruwe 2000
Back
Top Bottom