Recent content by PHOSGENE

  1. P

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    Kama hautaki kuilipia Elimu ya mwanao unataka akulipie nani?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

    We jiamini kwa lafudhi yako. Mbona watu wa Korea Kusini huko wanazipenda lafudhi zao, watu wa Busan wana lafudhi tofauti na watu wa Seoul
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

    Lafudhi haina shida. Ni kitu ambacho hauwezi kukikataa. Yaani uzaliwe Ngudu Kwimba alafu utake kuwa na lafudhi ya Lisbon,Portugal?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ingenial Hernal Surgery, ni upasuaji ambao unahusu nini?

    Typing error
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hip Hop ya U.S kwa 90% imejaa matusi. Kwani Bongo tunachakujifunza kwao zaidi ya Production?

    Technically matusi hayawezi tumika kama vinogesho kama unatoa ujumbe kwa jamii.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hip Hop ya U.S kwa 90% imejaa matusi. Kwani Bongo tunachakujifunza kwao zaidi ya Production?

    Rick Ross? Yani baada ya kumsikiliza nije kuedit hii post?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ingenial Hernal Surgery, ni upasuaji ambao unahusu nini?

    Natamani kujua aina hii ya upasuaji unahusiana na nini, nimejaribu kupitia mtandaoni na ku-search lakini kwakuwa utabibu sio fani yangu nimeishia kudokoa machache ambayo naona bado sijaelewa vizuri. Nawaomba wataalamu wa itabibu wa Jf mnisaidie kujua upasuaji hui unahusu nini kiundani. Nawasilisha
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hip Hop ya U.S kwa 90% imejaa matusi. Kwani Bongo tunachakujifunza kwao zaidi ya Production?

    Mziki wa Hip Hop unafungamanishwa na ugumu yaani u-hardcore, nyimbo nyingi za Hip Hop zinapewa sifa ya kuibadilisha jamii kifikra. Lakini kwa bahati mbaya sana, wasanii wengi wa mziki wa aina ya Hip Hop hasa hasa kutoka Marekani kwa kila nyimbo wanazoimba basi zinajaa matusi ku.anzia mwanzo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Branch Davidians na The Waco Siege zilivyojenga chuki ndani ya Timothy McVeigh: Mistakes that cost lives of 168 people in Oklahoma

    Bujibuji Simba Nyamaume adriz Mshana Jr DeepPond , Kelsea Daby To yeye Unique Flower Chakorii Nyani Ngabu Shimba ya Buyenze Meneja Wa Makampuni Da'Vinci
  10. P

    JamiiForums Tanzania Branch Davidians na The Waco Siege zilivyojenga chuki ndani ya Timothy McVeigh: Mistakes that cost lives of 168 people in Oklahoma

    Branch Davidians lilikuwa kundi la kidini lililojiengua kwenye dhehebu la Ki-adventist baada ya Bwana Houteff kupishana na viongozi wa kisabato kwenye mambo fulani fulani. Kundi hili lilianzishwa na Victor Houteff mwaka 1935 hii ni baada ya machapisho yake aliyoyaita Fimbo ya mchungaji...
Back
Top Bottom