Recent content by Philotheo

  1. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Bro, Usiingie mtego huu

    Mwanamke kama hajakupenda hawezi kukutii, labda kama anakunafikia akitegeshea jambo fulani
  2. Philotheo

    JamiiForums Tanzania NITAMJUAJE MWANAUME MWENYE NIA YA KUPATA MKE?

    Kila mwanamke anaweza kuwa na matazamio tofauti juu ya aina ya mwanaume anayemtaka. Kwenye maelezo yako umesema "wengi wanahishia kwenye mikono ya wadanganyifu..." Vice versa yake inaweza kuwa kianzio. Nadhani, wanawake wanaweza kusaidia zaidi kuainisha vigezo vyao. Then utafanya conclusion
  3. Philotheo

    JamiiForums Tanzania NITAMJUAJE MWANAUME MWENYE NIA YA KUPATA MKE?

    Ni rahisi sana kumtambua mwanaume aliye serious na mahusiano, kuliko binti.
  4. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Hebu tupige story kidogo kuhusu ukatili katika ndoa, je ndoa za wake wengi nako kuna mauwaji?

    Zama za nyuma ilitumika forced mechanism kwa mgongo wa tamaduni na mfumo dume. Kipindi hicho mwanamke alikuwa anaridhia ikishaamuliwa hana namna. Leo ukiongeza mke ndo unampa ticket mke kuongeza mabwana,,,, anakwambia si umeanza mimi namaliza 😂
  5. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Hebu tupige story kidogo kuhusu ukatili katika ndoa, je ndoa za wake wengi nako kuna mauwaji?

    Mtu kama unaweza kuoa unaoa tu. Lakini ndoa za mitara nazo zina mambo yake,, migogoro na mikasa ya familia kuwindana. Kama hujatuliza kichwa unaweza kuchizi. Kwenye ndoa za wake wengi lazima utakuwa unanufaika wewe mwanaume. Ila wanawake wengi hawapendi hiyo kitu, kitakachotokea hapo ni kutumia...
  6. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani juu ya suala la mtu kumpost au kutompost mwenza wake mitandaoni?

    Sijaelewa ulimanisha kitu gani. Mimi sio punguani kama unavyowazia, na wala sijali wewe kunijua au kutonijua. Haina faida kwangu hiyo. Kuleta hiyo mada haina maana ya kwamba nimekuomba unipost,, mimi mwenyewe situmii mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Unafikiri mimi nina shida na watu kunifahamu...
  7. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani juu ya suala la mtu kumpost au kutompost mwenza wake mitandaoni?

    Huu mjadala ulikuwa wa moto, UTV. Binafsi mimi sio mtu wa kupost vitu binafsi mitandaoni, na upendo hauwezi kudhihirishwa kwa kupostiana mitandaoni. Nikashangaa watangazaji wawili wa kike wanasema eti mwanaume hasipokupost maana yake hakupendi, au ana watu wengine. Vijana wengi kwa sasa wana...
  8. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani juu ya suala la mtu kumpost au kutompost mwenza wake mitandaoni?

    Hata mzee wa leo, alikuwa mtoto miaka kadhaa iliyopita
  9. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani juu ya suala la mtu kumpost au kutompost mwenza wake mitandaoni?

    Vipi kwa wale wanaosema "Kama unanipenda mbona unifichefiche?"
  10. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani juu ya suala la mtu kumpost au kutompost mwenza wake mitandaoni?

    Ndg wana JamiiForums, kama swali linavyojieleza hapo juu, ninapokea mitazamo yenu juu ya suala la kupost au kutokumpost mwenza mitandaoni. Kuna watu wanaona sawa wengine wanaona sio. Vipi wewe kwa mtazamo wako. Unadhani kuna faida au hasara gani kwa kufanya au kutokufanya hivyo?
  11. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

    Hapana sijawaita wajinga, labda hujanielewa. Nimesema tu, ukileta danadana za kutaka talaka ili uchume mali lazima kiwake, au ukifanya usaliti. Ukiamua kuolewa olewa ukiwa na dhamira halisi.
  12. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni Ngumu kupata Mwenye Uwezo Wa Kuvaa Viatu vya Rais Samia 2025. Ikishindikana Kupata Mbadala wake 2030, Itabidi Tubadili Katiba ili aendelee

    A good leader makes the best leaders. Kiongozi bora huzalisha viongozi bora zaidi. A good leader must be able to implant those attributes to others. Kiongozi bora huwajua warithi hata kabla hajan'gatuka. Inakuwaje leo chama bora kinakosa viongozi bora! Au umeanza kukizalilisha chama baada...
  13. Philotheo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wake za watu walioajirwa (corporate) wanaliwa sana na boss zao maofisini au ni hofu tu za vijana ?

    Anakuwa ameridhia, maana yake ni kundi la malaya pia. Kuna wanawake huwezi kutoboa hata uwadanganye na nini. Kuhusu shinikizo mara nyingi inatokea pale mwanamke anaponasa kwenye mtego kiasi kwamba hasipokubali anapoteza kitu cha msingi. Hapo munaongelea makazini, ila haka katabia huanzia...
Back
Top Bottom