Recent content by philly d

  1. P

    Another Joke from Kikwete: Every student to have computer in five years time

    Mmhh Ndani ya miaka 3, Ahadi zote za 2005 hajatimiza zen wanafunzi watumie Teleconfernce kujifunza huu kweli ni utani uliovuka mipaka. It's time now kuwaondoa watawala wote wenye mawazo ya alinacha na ndoto za mchana kama huyu kiranja mkuu wa nchi hii ya wadanganyika walio wengi.
  2. P

    GE2010 Tundu Lissu: CCM imeanza kucheza rafu

    Ndio kawaida yao hao CCM ila imefika wakati sasa tuwakomeshe
  3. P

    GE2010 Simpendi raisi wangu..

    Nakumbuka enzi hizo kila kitu alikuwa anasema serikali yangu itashughulikia sie wanachuo alitahidi hakuna mtoto wa masikini atakayefukuzwa kwa kukosa ada tumemeliza vyou vinatudai 40%zao za 2006
Back
Top Bottom