Recent content by Phillipe Coutinho

  1. P

    Wazo la biashara Morogoro mjini

    Shukrani sana ndugu yangu
  2. P

    Wazo la biashara Morogoro mjini

    Wanajukwaa habari za Asubuhi, Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
  3. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Chirivella wanted first team involvement kwa next season ili asign mkataba mpya kitu ambacho klopp amemwambia hawezi kumhakikishia Hilo.thats why dogo kaamua kuondoka.but He is one of the bright talents
  4. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    First goal for him,japo sio official match.many more to come
  5. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Asante mkuu
  6. P

    Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

    Maombi ya kujiunga na chuo hapa ni mpaka pale NACTE watakapofungua dirisha kwa vyuo vya elimu ya kati kuanza kupokea maombi ya udahili.Mara nyingi ni kuanzia may au june.Wakifungua tu NACTE dirisha,tuma maombi lazima utachaguliwa tu.Karibu sana MATI MLINGANO!
  7. P

    Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

    Inatolewa hapa kwa mwaka mmoja ikiwa tu umesimama certificate of general Agriculture.
  8. P

    Mtaalamu Wa Mashine Na Zana Zote Za Kilimo(Eng.Chalangwa) Kwa Ushauri,Elimu Na Msaada Kuhusu Zana Na Mashine Za Kilimo.

    Ndugu yangu,Simu inatumika kumuunganisha mtoa huduma na mhitaji huduma tu.
Back
Top Bottom