Recent content by phillipe baptiste

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kuoana kwa tofauti ya dini, utatuzi ni nini hapa?

    Wadau nawasalimu, Nimekua na huyu msichana kwa miaka 5 sasa, na mimi ndie nilikua wa kwanza kwake, mazungumzo ya kuishi pamoja kama mke na mume tuliyaanza 2 yrs ago, kila tunapoweka mezani mjadala huo tunashindwa kufikia muafaka kwa kila mmoja kutaka mwingine ndie abadili dini ili ndoa ifungwe...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Mchomee tu hana maana
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake Wakati huo mm nilikua form four yeye form three, vijana wengi sana walijitosa kumtongoza, mm nilikua mmoja wao Nilikua nampenda...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Sex on sunday

    Nonsense
  5. P

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

    Inachanganya sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Hatari sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nina ugonjwa wa kuiba chupi za wanawake

    Huenda bado mtoto maana hizo ni tabia za watoto
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo tofauti ya mafuriko ya CCM na mafuriko ya UKAWA

    Magufuli na genge lake wanasomba watu kutoka sehemu mbali mbali
  9. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA wahaha kuvuluga Mdahalo wa wagombea Urais!

    Hakuna mdahalo pale ni genge la wahuni wanaojiita twaweza na kampuni yao ya ccm, nani atauyazama labda wafuasi Wa ccm
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu umepata mimba kabla ya mke wangu wa ndoa, nifanyeje?

    Jf watu huwa wanakosa kazi za kufanya?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nina ugonjwa wa kuiba chupi za wanawake

    Childish
  12. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada wanapenda kuangalia dereva wanaepishana nae

    Huu ni ukosefu Wa kazi za kufanya
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Nyangau ww
Back
Top Bottom