Recent content by Philipo Pori

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    Kaka usijali, wapo hata madada wanaotafuta wanaume kwa hali na mali. We subiri tu utapata atakayekufaa
  2. P

    JamiiForums Tanzania New mlm company looking for leaders

    Tunapenda sana kazi ila bila kujua aina ya kazi na inaendeshwa vipi hapo ni tatizo kwa kweli.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sitta ahoji harambee za Lowassa Makanisani na sasa misikitini

    Mimi naona hawa jamaa wote wanapigania urais, Lowasa anatumia pesa kuwakamata watu makanisani, misikitini, na hizo saccos ili wampigie kura baadae na Sitta nae anaweka kipingamizi chake kwa kusema Lowasa fisadi. Naamini Tanzania yetu hakuna mwanasiasa msafi hata mmoja ila wapo wanaojitahidi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hellow! New user

    Habari ya siku wadau wa Jamii, nimefurahi kuwa mdau mwenzenu. Nategemea nitafurahi sana.
Back
Top Bottom