Recent content by Philipo Khan

  1. Philipo Khan

    GE2020 Asante sana Tundu Lissu kwa kutetea Waislamu walioko jela kwa uonevu, Mungu akulipe kheri nyingi sana

    Tundu Lisu ni wakili, kama anawapenda sana hao mashekhe angeanza kuwatetea mahakamani. Asitumie mgongo wa mashehe kutafuta kura
  2. Philipo Khan

    Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

    Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi. Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu...
  3. Philipo Khan

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    Dunia imejaa watu wa aina mbalimbali; kuna wanasayansi, wachumi, wahandisi, matabibu, wanamichezo nk lakini lipo kundi moja ndilo linaloendesha makundi yote ya watu wanaoijaza dunia, nalo ni kundi la wanasiasa. Mwanasayansi aligundua Bomu la nyuklia lakini mwanasiasa ndiye aliyeamrisha bomu...
  4. Philipo Khan

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    Kwa hiyo kwa hizo akili zako za kumezeshwa taarifa unajua kuwa alikubali? Mtoto wa Mulla alieleza ukweli wa mambo lakini kwa bahati mbaya penye kadhia palishapenyeshwa rupia. Hakuna haki mbele ya pesa ndugu yangu, kama unabisha subiri yakukute
  5. Philipo Khan

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    ACP Robert Mande ni mla rushwa kama wala rushwa wengine tu, ndo maana anaingia kwenye skendo kibao za upigaji. Kama unadhani yeye ni malaika aliyeshushwa na bwana kuja kuleta uokovu katika nchi naomba ukajipange tena
  6. Philipo Khan

    Kikosi kazi cha kupambana na Ujangili kinatumika kisiasa!?

    usidhani kama kumkuta mtu na nyara za serikali ni jambo zito sana, uliza watu wa kitaa wanavyokamatishwa bangi na polisi ili wakifikishwa kituoni watoe kitu kidogo polisi wale. Hapo ndo utajua kuwa hii nchi haitendi haki, kila mtu anachumia tumbo lake tu. Hiki kikosi kazi nacho ndo kipo kwenye...
  7. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    Hata huyo aliyepeleka mashitaka fake na kuhonga watu wa TANAPA na Mahakama lengo lake lilikuwa kama lako, alitaka Mhe Mulla ajiuzulu ili yeye apate nafasi ya kugombea na kulichukua jimbo lakini kwa bahati mbaya njama zake hazijamfikisha alikotaka... Sisi na Mulla wetu, Mulla wetu na Mbarali yetu...
  8. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    Huyo Maghembe mwenyewe yumo kwenye orodha ya mawaziri mzigo, usijifanye hulijui hilo. Tena unaonekana hata elimu ya sekondari hujaipitia maana unashangaa mtu wa PCB kupata zero, kila aliyeisoma post yako amekucheka sana. Hebu tuwekee kando hizo akili zako za nyumbu Haya sasa hebu anika matokeo...
  9. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    kwa akili zako unajua kila aliyekutwa na hatia mahakamani ni mkosefu? au kila aliye jela ana hatia?
  10. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    Si afadhali TLP ya Mrema inaweza kuwa chama kizuri hapo baadae kuliko haya masahibu ya ACT
  11. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    huyu mze wendawazimu wa siasa wote wanakimbilia ACT... wanakiharibu sana hiki chama
  12. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    Na sitaki kuamini kuwa hao wote wamesharogwa na huyu KARUMANZILA
  13. Philipo Khan

    Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Hongera sana, ni mapenzi na furaha kubwa kuona umefanikiwa. Sasa kinachofuata ni kuheshimu sheria za ofisi yako kisha onesha vipaji na ubunifu wa kipekee ili hata ikitokea umepata dharura ya kuwa nje ya ofisi japo kwa siku moja tu ofisi isikitike. jiendeleze kielimu na epuka makundi makundi ya...
  14. Philipo Khan

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    Kila ninavyoutafakari mwenendo wa siasa wa ACT WAZALENDO nazidi kuelewa ni kwanini hiki chama kiliwahi kuitwa CHAMA CHA MAWESE na mmoja wa wagombea wa ubunge kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Ni chama ambacho tukimtoa Mhe Zitto Kabwe na Mama Anna Mgwila basi wote waliobaki ndani yake ni pumba tupu...
  15. Philipo Khan

    CCM kuanzisha TV na redio zao

    Hizi picha za kuokota mtandaoni siyo za kuzitumia sana kuonesha ubaya au uzuri wa jambo hadi pale tutakapokuwa na uhakika. Nyingi zake zinakua siyo za Tanzania na nyingine zinakua za kutengenezwa. Nawaomba tuwe makini nazo Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom