Msiwe wepesi wa kulaumu nakusingizia siasa, huenda Diwani huyu alikuwaga na kandokando zake zilizopelekea kutokea mauaji hayo, hebu iachieni police na vyombo vya usalama vifanye kazi yake, Na mengine yatajulikana lakini siyo eti kwakuwa alikuwa chadema ndio muanze kuitupia lawama ccm.
No acheni...
Mnajua Aman huanza kupotea kwa namna Wapinzani wafanyavyo...
Mimi huwa nasema kwamba angalieni Congo,Rwanda walivyokuwa before Kagame.
Lazima nchi iwe na Rais Makini kama tuliyenae ndio kila jambo linaenda vema.
Mfano Rwanda before kagame ilikuwa siyo nchi yakutamani kwenda.
Leo Rwanda ya kagame...
Nataka kuambia kwamba Nape ni mtu makini kabisa , Mimi nasema nakumuunga mkono nape. Kwa kauri aliyosema ,Nazani Wapinzani walitegemeaga Nape anaweza kwenda kwa vyama vyao....lakini kwa mtu mwenye akiri timamu huwezi kutamani na kujiunga kwenye vyama kama chadema.
Chadema ni jahazi lisilo na...
Naanza na kumuunga mkono Ndugu Nape,Kwa alichosema Mbowe ajiuzuru...
Nikweli mbowe alitakiwa kujiuzuru tangu kipindi cha Chacha Wangwe, Mbowe alitakiwa waga pia kujiuzuru pindi Zitto alipotaka kua mwenyekiti wa Chadema.
Mbowe kwa undani ana history yakuwa chadema ni Taasisi yake na Baba Mkwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.