Recent content by phidely

  1. P

    Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa

    Tukifkika hko bunge letu litakua kama daladala kwamba ni kila mtu anapnda tu
  2. P

    Afande Sele kugombea ubunge 2015

    Hafai kabisa tena ni bora alivyojiwah kwenda ACT maana angetutia hatutia haibu hku chadema
  3. P

    Nuhu Mziwanda amshukuru Shilole kwa kumpandisha ndege kwa mara ya kwanza...

    Iv hyo dodo hana watu wakumshaur vzur maana amepiliza
  4. P

    Tundu Lissu apambana dakika 125

    Hongera sna Lisu maana bla wwe huo muswada ungepita...mungu akupe maisha marefu ili uendelee kulitetea taifa letu
  5. P

    Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Kwel nchi hii inaaribiwa na wasom....yan mtu anayetafuta kuingia ikulu kwa hal na mali lakin bdo wasom wazima wanajipnga nyumban kwake....ikulu ni mahal patakatifu
  6. P

    Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    watu aina ya afande sele ni wale wanaoshabikia chama 7bu ya mtu flan...kwahyo zitto akiama act nae atahama....kwanza afande sele kaonyesha ni jins gan asivyokua na msimamo tunajua wapo weng xna watakaoamia act tusubil tuone
  7. P

    Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Cku zote mfa maji haishi kutapatapa ZZK anajaribu kutafuta 7bu nying il aonekane ye ni mwema wakat alikua msalit kwa chama chake na viongoz wke....kama kwel ni mtu mwenye busara ajaribu kukaa kimya nakutafakar ni chama gan kitakachomwingiza bungen mwez november kma ye mwenyewe alivyosema
Back
Top Bottom