Recent content by Phd Elly

  1. Phd Elly

    Nataka nijaze form ya mkopo chuo (HESLB), niandae vitu gani wakati wa kujaza?

    Bado nasubili NACTE watoe selection ila nina Diploma ya IT GPA 4.1
  2. Phd Elly

    Nataka nijaze form ya mkopo chuo (HESLB), niandae vitu gani wakati wa kujaza?

    Wakuu habari naombeni msaada kwa mliokwisha kujaza form ya mkopo, nataka kujaza niandae vitu gani?
  3. Phd Elly

    Nimeshindwa kufanya application OLAS ya HESLB

    Wakuu samahani naomba kujua pindi napojaza form ya mkopo niwe na vitu gani karbu? Maana bado sijajaza nataka kujaza
  4. Phd Elly

    Je kufahamu Lugha ya Kiingereza ndio kipimo cha kuwa na Elimu bora?

    Well Jane, but i'm still doubting on this issue of favouring someone just because he/she knows English, lets have vivid example on countries which English is Unnecessary such as Japan,Korea,China and Vietnam, why do we value so much and accept them as good experts on different fields at the same...
  5. Phd Elly

    Je kufahamu Lugha ya Kiingereza ndio kipimo cha kuwa na Elimu bora?

    Habari zenu wanajamii...kuna jambo leo nataka tuliangalie kwa mapana zaid hasa katika kipindi hiki cha sayansi na teknolojia pia katika kipindi hiki tunachopitia chenye changamoto ya ajira. Napenda kuuliza jambo nikweli...
Back
Top Bottom