Recent content by Pharao wa Misri

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hitilafu Gridi ya Taifa: Waziri Kalemani aamuru Meneja Uendeshaji wa Kidatu kuondolewa kazini kwa uzembe

    Ukiwaita wajanja huoni kama unawapendelea??
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hitilafu Gridi ya Taifa: Waziri Kalemani aamuru Meneja Uendeshaji wa Kidatu kuondolewa kazini kwa uzembe

    Kukatika umeme sio mara ya kwanza hii. Tunaishi hivyo ndani ya Tanzania yetu chini ya CCM
  3. P

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwenyekiti UVCCM Kilimanjaro kisha akahamia CHADEMA arudi tena CCM leo

    Sawa na uchawi. Ukizoea kula nyama za watu hutaacha, utaendelea tu. Ukifika sehemu ambako hawali utaona kama umepotea
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nape Nnauye amwita Raila Odinga kibaraka

    CHADEMA ndio walioweka bayana kumuunga mkono Uhuru kwa madai kuwa katika uchaguzi uliopita hapa nchini Odinga aliwasaliti na kumuunga mkono Magufuli.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nape Nnauye amwita Raila Odinga kibaraka

    Huyu anadhani mapinduzi na ukombozi ni kitu kimoja. Zanzibar wana seerikali ya mapinduzi lakini hawajajikomboa bado.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Zitto Kabwe, hujajifunza chochote kutoka "Kaskazini"?.

    Bandiko lako lina harufu ya ukabila na ukanda.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli avuma na kuigwa duniani katika mabadiliko ya umiliki wa madini

    Hayo ya Magufuli sio mafanikio bali ni jitihada tu. Punguza ushabiki
  8. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata Balimi tutapata 3 tu na sio 7

    DUU, HADI HONGO INAKATWA KODI!!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimebaini: Ili kulinda heshima ya elimu yako usichangamane sana na wanasiasa

    Siasa za chama tawala ndizo zinakuwa za uongo na hadaa nyingi. Zinategemea wananchi ambao ni un-informed
  10. P

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Siasa Kilimanjaro: Kilimanjaro inahitaji Ma DC, RC, Watendaji wenye kuishi ktk "SPIRIT OF KILI"

    Mfumo mbaya huu umekukaa kichwani hadi unautetea
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joshua Nassari ampa tahadhari kubwa Zitto Kabwe

    Ukiongea hivi hata mtoto mdogo anakupinga kwa hoja takatifu. Jipange vizuri mkuu wangu wala usijiaibishe tu hapa.
  12. P

    JamiiForums Tanzania CCM yaibuka mshindi uchaguzi wa marudio wa vitongoji na vijij mkoa wa Pwani

    Ukitaka kufahamu kiwango cha uelewa wa raia kaatika maeneo mbali mbali nchini angalia vyama wanavyochagua
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa hoja: Wakosoaji wa uteuzi wa Gavana mpya Benki Kuu ya Tanzania, mnayajua haya?

    Mtu anaweza kuropoka bila kutoa sauti???
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kuvaa viatu vya Tundu Lissu: Zitto is on the right track so far

    ACT ni chama cha Upinzani lakini sio wa kuipinga CCM. Hata Zitto mwenyewe haipingi CCM. Anaipinga serikali ya Magufuli tu. Kiitikadi ACT na CCM ni kitu kimoja. Wote wajamaa
Back
Top Bottom