Recent content by PHARAO ROHO NGUMU

  1. PHARAO ROHO NGUMU

    Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

    We nenda kachanje....kwa ...maslahi....yako na siyo....kuwashinikiza wenzako ....kwani chanjo...Ni hiyari ...umeelewa....Pascal Mayalla??
  2. PHARAO ROHO NGUMU

    Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Amina, Mungu ametenda, ila tusiogope kuendeleza utashi wetu tulio pewa na Mungu maana katupa kujipambanua wenyenye, ndo maana tuko na kiumbe kiitwacho Shetani kutoka jina la (LUCIFER) Mungu mwana-demokrasia namba 1 viva viva mapambano yanaendele. WEMA UTASHINDA UBAYA. USIKU MWEMA WADAU.
  3. PHARAO ROHO NGUMU

    Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

    Mungu akutangulia katka ndoto zako..ila atakukuta una usichana wako? maana huwezi kuweka masharti kwa mtu kama wewe mwenyewe hujafikia vigezo.
  4. PHARAO ROHO NGUMU

    Rais Magufuli anaiua CCM kifo cha mateso makubwa

    NGOJA AIUE HILO JINI LINALOTUTESA KWA MIAKA ZAIDI 50, AMEKOSEKANA PADRI. MCHUNGAJI AMA ASKOFU WA KULIOMBEA LIWEZE KUONDOKA.
  5. PHARAO ROHO NGUMU

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    KWELI MDAU TUNAPASWATUAMKE TOKA USINGIZINI TUBADILIKE TUEPUKANE KUSHIBISHA FUNZA CHOONI BALI TUANGALIE MABADILIKO YATAKAYO LETA TIJA KWA JAMII SASA NA SIKU ZIJAZO.
  6. PHARAO ROHO NGUMU

    Mkakati ovu wa msajli Wa vyama dhidi ya chadema

    MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA BWANA MTUNGI ATASHINDWA NAKULEGEA KWA JINA YESU....WATASHINDANA JUU YA DEMOKRASIA ILA HAWATASHINDA....AMINA.
  7. PHARAO ROHO NGUMU

    Kesi mbili za Kikatiba kuhusu kudai demokrasia kuanza kusikilizwa Ijumaa Machi 9, 2018 Mahakama Kuu Kanda ya Dar

    UKOMBOZI - TANZANIA UNAKARIBIA... ILA KWANZA WATANZANIA WAJITAMBUE WAANZE KUDAI HAKI ZAO.
  8. PHARAO ROHO NGUMU

    Brussels Belgium: Mbunge Tundu Lissu akifanya mazoezi

    Mungu ni mwema alipangalo mwanadamu hawezi kubadilisha....viva continua mapambano bado yanaendelea...
Back
Top Bottom